JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama huwezi kutoa hela ya matunzo acha kutongoza wanawake weupe. Mwanaume unatongoza mwanamke Unashidwa kumtunza ukifa moto unakuhusu
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Wakuu habarini..? je ni member gani unaona ana trend sana ambae amejiunga mwezi wa 6 kunendelea?
4 Reactions
53 Replies
621 Views
unabaki unakodoa mimacho tu....aibu utaona wewe🤣🤣👌. kila muamala ni bao la ushindi huko katoro naskia eti..
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Vimaneno gani mwenzako akikuambia vinakuchanganya mkiwa mnapeana raha kitandani au hata akiwa anakuchombeza kabla ya mechi? (wanaume waambieni wake zenu ni watamu hata kama ni kinafiki, huyu wangu...
8 Reactions
153 Replies
2K Views
1. raraa reree 2. min -me 3. leo dada 4. Seran 5. dosho12 kwangu mimi na kwa trend ya hivi karibuni min -me ni mkali
17 Reactions
89 Replies
947 Views
Kuna watu humu ndani ni wataalam sana wa kumwaga like... Sasa kama hujawahi kupewa like na leo dada na raraa reree tafadhali jitathmini sana. Nani wengine unahisi wanafaa kushindana na hawa...
9 Reactions
16 Replies
165 Views
First generation ndio imetoa viongozi wengi sana hasa wa kisiasa na maarufu.. Hao pamoja na anonymous na elites wengine ndio wamesimika mizizi ya heshima ya JF Lakini hapo hapo yakafanyika makosa...
17 Reactions
124 Replies
921 Views
Kuna aina mbili za watu humu JF. Kundi la kwanza linaingia kupambana. Lengo lao ni kushinda hoja, kuthibitisha wako sahihi na kumfanya mpinzani akubali. Halafu kuna kundi la pili... sisi. Sisi...
4 Reactions
16 Replies
194 Views
Mimi: Ladha inanishinda.
8 Reactions
209 Replies
2K Views
Ume peleka gari yako vizuri waoshe umetoka zako umefika dukani kuchukua maji ukirudi una kuta gari yako imegongwa ukiuliza muushaji ana kwambia gari ilipakiwa vibaya kwahy alikuwa ana jaribu...
4 Reactions
35 Replies
359 Views
hawa watu wanaweza ongea neno ukajiuliza mara mbilimbili ni yeye au limetoka kwenye kinywa cha mtu mwingine mtazame sura sasa so innocent lazima atawaacha midomo wazi na kushikilia mbavu Akili...
8 Reactions
29 Replies
409 Views
Kwenye mduara utamkuta amevaa nguo ya kubana na aanze kukatika kiasi kwamba bwana camera na wale wauzuliaji wote wanamgeukia. Kila muda ataaamka atembee tembee mara aende kwa DJ mara vinywaji
3 Reactions
9 Replies
192 Views
Bi mkubwa leo katoa chozi kwa sababu ya pombe zangu, pombe hainiharibii chochote Bi mkubwa hataki kabisa Naaga jamani, mimi mwenyewe chozi limenitoka limenitoka😪😪
7 Reactions
23 Replies
407 Views
Kazi ya mikono ni kulima, kufuga, kujenga, kutengeneza vitu n.k We mikono yako, unaitumia kwa kazi zipi?
8 Reactions
55 Replies
399 Views
Mwanetu sana Intelligent businessman kimya sana kaka. Kama upo offline it’s alright ila kama umeisoma hi post login ujibu PMs. I know June was bad for us ila naamini tumeuvuka brother.
11 Reactions
46 Replies
815 Views
King Kong III Mandingo secretarybird Moisemusajiografii Kipindi kile mnanunua CD, mnaficha kwenye mabegi yenu mnasubiria baba na mama waondoke ili mkawake kupitia tv chogo ya sharp😁 Mlivyokuwa...
15 Reactions
127 Replies
2K Views
Maisha hayapendi ujinga: Mshahara ukiigia wiki ya kwanza unakula kuku Wiki ya pili unakula zao la kuku (mayai) Wiki ya tatu unaanza kula chakula cha kuku(mahindi, mtama) Wiki ya nne unakuwa kuku...
9 Reactions
23 Replies
344 Views
Wanatech karibuni kwenye uzi wetu mpya ambao utakuwezesha ku'share stori ama tukio lolote unalolikumbuka kipindi unasoma pale tech. Welcome Technical Boys.
4 Reactions
21 Replies
815 Views
Kama jibu lako litamshawishi mtoa ajira au mwenye ajira, jiandae kupata ajira kwa haraka Zaidi. Hakuna haja ya kulala njaa au kulalamika huna kazi, wakati ujuzi wa kuzalisha faida unao. Aya...
3 Reactions
55 Replies
507 Views
Back
Top Bottom