endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,662
- 2,666
Kuna watu humu ndani ni wataalam sana wa kumwaga like...
Sasa kama hujawahi kupewa like na leo dada na raraa reree tafadhali jitathmini sana.
Nani wengine unahisi wanafaa kushindana na hawa members wawili angalau kwa mbalii??