Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 832
- 1,643
Maisha hayapendi ujinga:
Mshahara ukiigia wiki ya kwanza unakula kuku
Wiki ya pili unakula zao la kuku (mayai)
Wiki ya tatu unaanza kula chakula cha kuku(mahindi, mtama)
Wiki ya nne unakuwa kuku yenyewe (kuzurura tu)
TWAMBIE WEWE MAISHA YANAKUSHUGHULIKIAJE¿