JF generations LTE

JF generations LTE

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
367,361
Reaction score
849,628
First generation ndio imetoa viongozi wengi sana hasa wa kisiasa na maarufu..
Hao pamoja na anonymous na elites wengine ndio wamesimika mizizi ya heshima ya JF
Lakini hapo hapo yakafanyika makosa ya kibinadamu kwenye kutambuana kati ya member wapya na wazamani

Hii hali ndio ilipelekea JF second generation ambayo ilizalisha mada maarufu za Makapuku forum ambao nai wakabaguana na kupelekea kuzalisha Mada ya likes.. Yaani hata ukikomenti hewa unapata likes za kutosha😂

Kubaguana na kunyimana ama kupeana likes kulichangia pakubwa umaarufu wa hii mada!

Sasa tuko JF third generation GEN-Z😂
Je ni makosa yapi yanafanyika?
Je itakuja na kipi kipya kuponya hayo makosa?
Je itakuwa ni kuharibu zaidi?
image_ce99f7d3.png
 
Nje ya mada
Binti yangu kaniuliza kuhusu jamii forum Leo. Anaingia second year.
Nimemjibu ni jukwaa la great thinker kiukweli kazunguka humu nimepigwa spana natoa macho nakutana na mada hii.
Majibu yangu hayaeleweki
Kakuambiaje😀 Hao ndio forth generation hao.. Wamoto Gen Z wanasubiri🤣
 
Ka view baadhi ya thread yaani kakutana na misamiati hiyoo.

Yuko tu mom angalia hii maana yake Nini. Mama hawa watu hawana morals

Nashukuru tu kuna foundation nimemuwekea sasa namtambulisha hii dunia mpya. Maana hata hii likizo ikiisha amesema hatarudi tena mpaka amalize masomo yake.
 
Dah.. Kaingia jukwaa gani maskini😀
 
Ka view baadhi ya thread yaani kakutana na misamiati hiyoo.

Yuko tu mom angalia hii maana yake Nini. Mama hawa watu hawana morals

Nashukuru tu kuna foundation nimemuwekea sasa namtambulisha hii dunia mpya. Maana hata hii likizo ikiisha amesema hatarudi tena mpaka amalize masomo yake.
Yuko tu mom angalia hii maana yake Nini. Mama hawa watu hawana morals kaona uzi wa kula tunda kimaskhara🙌🏿🤣
 
Hivo Mshana Jr unasema kwamba enzi hizo mafaza walikuwa wanabagua watu sana, hawataki kukosolewa na kutisha watu wasitongoze bebe za humu.
Nilipoingia 2012 nikakuta kuna familia za watu humu.. Nashukuru nilipata moja💪🏿💖🤣

Hizo familia zilikuwa zina ushirikiano mkubwa sana kwenye mada zao likes nk.. ! Hiki kitu kiliwakera sana wakuja😂
 
Ka view baadhi ya thread yaani kakutana na misamiati hiyoo.

Yuko tu mom angalia hii maana yake Nini. Mama hawa watu hawana morals

Nashukuru tu kuna foundation nimemuwekea sasa namtambulisha hii dunia mpya. Maana hata hii likizo ikiisha amesema hatarudi tena mpaka amalize masomo yake.
Dah! Kwahiyo id yako ameshaijua?
Kama ndiyo nimefumba macho kwa niaba yake akiona madarasa ulotoa ya chumbani😂
 
Hivo Mshana Jr unasema kwamba enzi hizo mafaza walikuwa wanabagua watu sana, hawataki kukosolewa na kutisha watu wasitongoze bebe za humu.
Nilipoingia 2012 nikakuta kuna familia za watu humu.. Nashukuru nilipata moja💪🏿💖🤣

Hizo familia zilikuwa zina ushirikiano mkubwa sana kwenye mada zao likes nk.. ! Hiki kitu kiliwakera sana wakuja😂
 
Nilipoingia 2012 nikakuta kuna familia za watu humu.. Nashukuru nilipata moja💪🏿💖🤣

Hizo familia zilikuwa zina ushirikiano mkubwa sana kwenye mada zao likes nk.. ! Hiki kitu kiliwakera sana wakuja😂
Sasa ni kipi kiliwakimbiza hao mafaza na kipi kimewafanya kurudi na id mpya na kujifanya gen z waliochafukwa roho?
 
Back
Top Bottom