JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimeona matangazo mengi ya kuhitaji vijana kwa ajili ya kazi mbalimbali, mfano: kazi za masokoni, za majumbani, minadani, za kibiashara, kutembeza vyombo, nguo n.k, lakini waombaji hawaonekani...
7 Reactions
100 Replies
806 Views
Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani. Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana. Kabla ya uchaguzi. johnthebaptist
13 Reactions
123 Replies
2K Views
Seran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
6 Reactions
26 Replies
319 Views
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi? Wanahitajika:- Wachoma mahindi nafasi 2000 Watembeza kahawa maeneo...
14 Reactions
113 Replies
3K Views
Moja kwa moja... Jf imekuwa tofauti na mitandaoni wengine watu wengi tunatumia majina na picha fake kama utambulisho wetu wachache sana wanaotumia utambulisho wao halisi , hali hii inaelekea...
7 Reactions
28 Replies
262 Views
Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari...
12 Reactions
259 Replies
2K Views
Baada ya juhudi zangu za kudate na Wema Sepetu kugonga mwamba NALIA NGWENA nimejikuta nimetumbukia kwenye wimbi zito (mahaba mazito) na mtoto wa Jamii forum Cute Wife nimeshikwa kweli kweli...
15 Reactions
151 Replies
6K Views
Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it? Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa? Mimi binafsi hili jina langu...
19 Reactions
175 Replies
3K Views
Kuna viongozi wanawaonea.sana wenzao. Kosa liko wazi mwalimu kujiramba katikati ya mwezi? Kabia kamoja au tuwili kwa afya jamani waacheni
10 Reactions
32 Replies
370 Views
Nasikia Mbezi kuna sehemu inaitwa Msigani, Kwa God na Mbezi Luxury, Kuna Kiwanja gani kingine maeneo ya Mbezi maana week kesho kutwa napata likizo ya kuwa Tanzania kwa miezi 2. Tupeane...
3 Reactions
69 Replies
10K Views
Ilikuwa hivi; tuliamua tukae sehemu ili tubadilishane mawazo na kweli tulikuwa wengi tu na moja kati ya mada ambayo imenifanya niandike hili ni namna ya kufanikisha kimaisha. Kuna mmoja kifedha...
0 Reactions
4 Replies
134 Views
Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Pale unaanza kumsogeza demu unamsifia ,unajua wewe mzuri sijui mrembo ,una miguu mizuri sijui, napenda tabasamu lako, na blablaa nyingine, ili mradi tuu ajue kuwa umemwelewa. Demu nae kujifanya...
3 Reactions
2 Replies
68 Views
Naona vijana mnajifanya mna vipaji. Mnajifanya wachanaji. Sasa nimewaita hapa mkutane na muuaji. Awapelekee moto mshindwe hata kuomba maji. Halafu kila mtu awe jaji. secretarybird...
8 Reactions
191 Replies
2K Views
Uzi unajieleza sina haja ya kuangaisha macho ya wachangiaji
2 Reactions
6 Replies
120 Views
Mimi nsingebonyeza kabisa. Maana nisingekuwa na uhakika kama ntarudi kuwa hapa nilipo na ku enjoy life. Hiyo button ningesema iondolewe nisije nika press hata kwa bahati mbaya. Kumbuka unapokuja...
5 Reactions
30 Replies
288 Views
Wadau, Naamini Wikiendi ilikuwa njema. Rejeeni thread ya Preta HII-HAPA. Kikao kilifanyika Jumamosi Eneo la MERU VIEW, na Hadidu Rejea zifuatazo zilikubaliwa na kupitishwa na wana-Wing...
28 Reactions
1K Replies
58K Views
Wakuu inakuwaje, Ratiba zenu zipoje. Mimi ya kwangu inaendana na kazi yangu, asubuhi tunaingia mazoezini baada ya hapo kumwagilia bustani pamoja na kulisha kuku. Nikitoka hapo najiandaa kuingia...
4 Reactions
10 Replies
134 Views
Is it that ego zao zinawapumbaza? Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani? Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili...
23 Reactions
355 Replies
4K Views
Back
Top Bottom