Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jamaa anajua kucheza na mpira miguuni ukimkaba unakuta mpira haupo unachobkutana nacho ni miguu yake mpira unakua nyuma yako huenda ndio sababu kuu inayomfanya apate majeraha kila wakati, pia...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimesoma kupitia mitandao kuwa Yanga wanataka kumsajili Simon Msuva. Ushauri wangu kwa Yanga kuwa waachane na Msuva. Mpira wake umekwisha. Msuva umri umeenda. Waendeee kumwamini Skudu ni mchezaji...
2 Reactions
5 Replies
889 Views
Wazee Wanasimba wenzangu mimi nikiwa mwanachama halali wa simba naumia sana .. Misimu mitatu au minne nyuma tumekuwa tukileta wachezaji wa hovyo sana. Kisha tukiwatena kwa kuwasingizia kesi...
8 Reactions
72 Replies
6K Views
Club ya FIFA. Huyu ni mchezaji hasa. Kipaji na chipukizi. Tumekataa kusajili wazee.
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Wanakamati, hadi muda huu ikiwa timu zote zinazoshiriki Kombe la Mapinduzi licha ya kupigiwa promo sana ni mechi mbili pekee zimejaza uwanja, Mechi iliyochezwa na Yanga na nyingine ni mechi ya...
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Timu zilizoshinda mechi nyingi kwa Mwaka 2023. 1. Al ahly. 45 2. Sundowns. 39 3 Esperence Tunis ....35 4. Young Africans.....35 5. Wydad Ac .....33 6. Ases mimosas......29 7. As far......29 8...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Uchezashaji wa kikanjanja ambao unapendelea Yanga na Simba umesababisha Tanzania ikose Mwamuzi hata mmja kati ya 11 waliochaguliwa. Just imagine hakuna hata raiseman...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Kanuni za mpira tulipokuwa watoto: 1. Mtoto mnene daima alikuwa mlinda mlango. 2. Mmiliki wa mpira ndiye anayeamua na niacheza. 3. Kama hukushiriki kutengeneza mpira, huchezi mechi. 4.Mwenye...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Timu Iko hoi taaban! Suluhisho pekee ni kumrudishia timu yake. Vinginevyo endeleeni kula jeuri yenu!
1 Reactions
6 Replies
678 Views
KUMBE hizi timu zinazocheza na yanga zikiwa na jezi za rangi za yanga zina msaada sana. Kamwe amesema kama sio Jamhuri kuvaa njano alikuwa apewe mikono miwili Kwa heshima tukakubaliana jamanii...
3 Reactions
5 Replies
827 Views
1.Yanga 5 Simba 1 2. Kibu Dennis kupondwa na mashabiki na sasa anatakiwa Wydad 3.Clatous Chota Chama kudaiwa kuuza mechi vs Yanga 4.Ayoub Lakred kupondwa na sasa anaombwa radhi 5.Mzee wa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Unajua adabu ya mtu unaijua toka mwanzoni. Okra mchezaji mzuri sana, najua atatusaidia. Jana sikupenda allivyovyaa kwa kweli ile jeans yake, Yanga watu wa heshima siku zote. Kuna kipindi alikuwa...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
1. Hiyo Cortulua ipo ligi daraja la pili. 2. Cortulua walimsajili 2023 kutoka timu nyingine ya daraja la pili 3. Ameingia kwenyw mechi 10 tu mwaka 2023 na amefunga goli 1😎 4. 2022 amecheza...
0 Reactions
13 Replies
875 Views
Ni suala la muda tu itakapodhihirika kuwa walichokifanya ni sawa na kuweka kiraka kikukuu kwenye nguo mpya! Ni hayo hayo Bernard Morrison! Soka la kisasa nidhamu inapewa kipau mbele kuliko...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka kwenye hili jukwaa la jamii sports tunaangazia wachezaji waliofanya vizuri kwenye Ligue ya NBC premier league. Hii ni list ya miongoni mwa wachezaji...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari Wakuu, nimeona nisiwe mnafiki kuwahabarisha mapema juu ya ujio wa huyu Miquissone mwingne aliyechangamka asije mkasema ohhh wana JF nyie ni watafiti mmeshindwa kufatilia Data za huyu mtu...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Ndio hivyo. Safari ya Okra ni sawa na ya Peter Banda na Sasa Chama na Phiri. Wakiwa katika ubora wa juu kabisa wananyimwa namba kwa fitna. Okra kaenda Ghana katupia goli tisa Tayari. Kwanini...
8 Reactions
44 Replies
6K Views
Back
Top Bottom