Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jana kwenye mechi kati ya Simba na Singida tulishuhudia malumbano kati ya mlinda mlango wa Simba Ali Salimu na beki wa simba Che Malone baada ya kutokea kosa la kimawasiliano kati yao ambalo...
29 Reactions
85 Replies
9K Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #mapinduzicup ⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC 📆 04.01.2024 🏟 Amaan, Zanzibar 🕖 2:15 Usiku Ni Match ya Round ya Tatu. Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali, Mechi inachezwa...
9 Reactions
282 Replies
20K Views
Kutoka @yangasc Rais wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa na Mwenyekiti wa Vilabu Barani...
10 Reactions
92 Replies
8K Views
BONDIA kutoka Tanga Hassan Mwakinyo ametoa maneno ‘mbofumbofu’ ( katupa jiwe gizani ) kwa kueleza kwamba haogopi mabondia wenye miili mikubwa na pia huwa anafurahia kuona ‘piko’ anazojichora...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii nchi ukiwa mwepesi wa Kucheka unaweza kupasuka Mbavu , Yaani Wahuni ndio wanaoteuliwa eti kwenye kuhamasisha timu ya Taifa . Kwenye kikosi hicho yumo Mwijaku aliyeshindwa kutimiza ahadi yake...
10 Reactions
84 Replies
10K Views
Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY Alikuwa akiandika mada ndefu huko...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC
13 Reactions
297 Replies
24K Views
Simba SC wamefanikiwa kuvuna alama 3 muhimu baada ya kuifunga timu ya Singida FG kwa mabao 2-0 na kukwea kileleni mwa msimamo wa Kundi B. Kasi ya Simba aliyoanza nayo ilisababisha kona ya mapema...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Mchezaji Luís Miquissone hakuwa mchezaji mbaya, ila ugomvi ndani ya uongozi ulisababisha afungwe miguu ili aonekane mzito, halafu kumbukeni Micquisone amesajiliwa kwa nguvu ya Mo Dewji na Try...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Sielewi chanzo chake lakini kwenye kila mechi wanayocheza Simba hapa Tanzania wachezaji wa Simba huchezewa Rafu sana wakati mwingine unaweza kuhisi kwamba labda kuna mkakati maalum wa kuhakikisha...
8 Reactions
12 Replies
788 Views
Majina ya wachezaji waliotwa kwenye kikosi cha Yaifa Stars kinachoenda AFCON 2024 . 1. Aishi Manula 2. Kawawa 3. Beno Kakolanya 4. Bakari Mwamnyeto 5. Mohammed Hussein 6. Sospeter Bajana 7...
8 Reactions
77 Replies
12K Views
Kiungo mshambuliaji fundi wa Simba aliyekuwa majeruhi, AUBIN KRAMO amerejea nchini akitokea Ivory Coast na fasta akapanda boti kwenda kuongeza mzuka kikosini mjini Unguja, Zanzibar. . Kramo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo ni nusu fainali iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa katika Kombe la Mapinduzi ambayo inawakutanisha watani wa jadi, Yanga na Simba. Mechi inachezwa saa mbili usiku kwenye Uwanja wa Amaan...
14 Reactions
635 Replies
81K Views
Mimi binafsi sitamani SSC irudi kwa form. Niseme Wazi matatizo yao ndio furaha yangu. Simba iendelee kuwa kwenye mgogoro na kufanya vibaya. Pamoja na yote yaliyotokea leo, bado sikioni kikosi...
2 Reactions
11 Replies
791 Views
Hii klabu kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa bingwa wa kuua vipaji vya wachezaji vijana pindi inapowasajili, imekuwa na tamaa ya kuwasajili lakini wamekuwa wazito kuwatumia wachezaji husika...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni swali la msingi kama sio hoja, hivi kwa hatua tuliyofikia Tanzania kwenye maendeleo ya mpira inawezekana vipi TFF au wadau kwa ujumla au mamlaka husika ya mpira Tanzania kukosa udhamini kwenye...
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Siku hizi limeibukaa wimbi la Utapeli hasa toka Kenya ambapo vijana wa Kenya na wachache watanzania wanawaambia vijana wa Kitanzania kuwa wao wana Odds za UHAKIKA so uwape hela wakuuzie. Vijana...
4 Reactions
29 Replies
14K Views
Umofia kwenu! Msimu huu unaelekea ukingoni na ndio maandalizi ya msimu ujao. Timu mbalimbali zishaanza kutoa jezi mpya kuelekea msimu ujao. Kama ilivyoada, uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya...
11 Reactions
253 Replies
36K Views
Utafiti, Kwa mwaka ulioisha timu ya Simba ndiyo timu iliyoongoza Kwa kupata ushindi kupitia magoli ya penalty kwenye michuano ya ndani na nje. Kwenye Kila magoli 3 ya Simba Kuna goli Moja la...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom