Chelsea wasitafute mchawi: Wanachokutana nacho ni laana ya kumdhurumu Abramovich timu yake!

Hao jamaa na man UTD nimeshindwa kuwaelewa!

Wachezaji wazuri kuliko hata was Liverpool lakini wanawauza wazoefu halafu wanaleta wengine ambao ni WA kawaida wanashindwa ku perform!!
 
Hata mimi naweza kuamini! Huyo ndiyo alikuwa "The blue" mwenyewe
 
Hebu acheni pumba nyie. Mnaijua karma nyie? Karma si infewata wenye mamlaka waliosimamia uuzwaji wa timu kuliko Chelsea yenyewe
 
Back
Top Bottom