Mambo 10 ambayo sitayasahau ndani ya klabu ya Simba mwaka 2023

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
1.Yanga 5 Simba 1
2. Kibu Dennis kupondwa na mashabiki na sasa anatakiwa Wydad
3.Clatous Chota Chama kudaiwa kuuza mechi vs Yanga
4.Ayoub Lakred kupondwa na sasa anaombwa radhi
5.Mzee wa Objectives Robertinho kushangilia sare ligi ya
NBC
6. Simba kufuzu ligi ya mabingwa hatua ya makundi kwa
mbinde
7.Mangungu kugoma kujiuzulu licha ya makelele ya
washabiki na wanachama wa Simba
8.Migogoro ya ndani kwa ndani ktk klabu ya Simba
9.Tajiri Mo Dewji kutoa maneno yenye ukakasi kwenye
mitandao ya kijamii kila Simba inapopata matokeo
mabaya
10.Wachezaji waliokuwa wakikaa benchi Simba kupangwa
kwenye gemu vs Wydad
 
Msamaha kwa Ayoub ulifutwa baada ya mechi na KMC.
 
Rage aliona mbali kuwaiteni mbumbumbu
Hamjui mnataka nini?
Team gani isipate changamoto hata chealsea, man u, Arsenal, liverpool, ac Milan
Zimepitia vipindi vigumu ila mashabiki hawako kama mbumbumbu wa Rage
 
Msemaji anawadhalilisha Sana mashabiki Sasa ka hamia kwa wachezaji.
Sasa Ayubu kazi itakua kumuomba msamaha na baada ya mechi mbili msamaha unafutwa
 
1.Yanga 5 Simba 1
2. Kibu Dennis kupondwa na mashabiki na sasa anatakiwa Wydad
3.Clatous Chota Chama kudaiwa kuuza mechi vs Yanga
4.Ayoub Lakred kupondwa na sasa anaombwa radhi
5.Mzee wa Objectives Robertinho kushangilia sare ligi ya
NBC
6. Simba kufuzu ligi ya mabingwa hatua ya makundi kwa
mbinde
7.Mangungu kugoma kujiuzulu licha ya makelele ya
washabiki na wanachama wa Simba
8.Migogoro ya ndani kwa ndani ktk klabu ya Simba
9.Tajiri Mo Dewji kutoa maneno yenye ukakasi kwenye
mitandao ya kijamii kila Simba inapopata matokeo
mabaya
10.Wachezaji waliokuwa wakikaa benchi Simba kupangwa
kwenye gemu vs Wydad
Ile kauli ya "WALA MIHOGO" ilitoka mwaka gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom