Mwamba wa ghana kipaji anacho kizuri tu. Sasa shida ni starehe zimezidi inadaiwa baada ya kutua jiji la starehe za aina zote DAR ES SALAAM, Okrah amekua ni mtu wa maji sana.
Tafiti za kimatibabu...
Maji Yamefika Ukingoni
Mfalme mfupi mara ya kwanza alikuja msimbazi akiwa na hasira nyingi za kuutafuta mkate alikuja akiwa binadamu aliyekamilika zaidi na mguu wake wa kushoto ,nakumbuka sana...
Ni dhahiri kuwa vilabu vya Afrika Kaskazini ndivyo zinazofanya vizuri kuliko vile vya AfriKa Magharibi.
Hakuna haja ya kuokoteza wachezaji toka West Africa, wenye viwango duni. Wekezeni katika...
Crispin Ngushi mshambuliaji hatar wa yanga aliyekuwa akitamba sana enzi zake akiwa Mbeya Kwanza, alikuwa on fire sana jamaa, sababu za yanga kumsajili ni uwezo wake wa kumiliki mpira, nguvu...
Happy New year ..
Mwaka jana Baada tar 31 Dec 2023 tumeshuhudia Yanga ikiikanda jtimu ya jamhuri Kwa kichapo Cha 5 [emoji113] lkn Kuna vitu vya kushangaza
Je jamhuri ni wadhaifu
Jamhuri...
Naam! Kuna tetesi nyingi zinavuma kuwa Augustine Okra atasaini Yanga Sc katika dirisha dogo na kelele za Saimon Msuva kutua Yanga Sc.
Hii ni kwa wenye kufuatilia na kupenda football hakuna...
Ikiwa tunahesabi siku Ili kuukamilisha mwaka 2023 Leo turejelee matukio makubwa yaliwahi kutokea kwenye ulimwengu wa futbol hapa mjini Tanzania
1. Yanga 5 ...1 Simba, hapa ilikuwa tar 5/11 mwaka...
Refa akiwa Mwanamke yule Dada wa Singida ( ambaye ni mwana Simba SC lia lia ) kwa 100% Simba SC anashinda.
Refa akiwa Mwanaume ( hasa Aragija ) ambaye pia Kiuhalisia ni mwana Yanga SC lia lia kwa...
LUIS Jose Miquisson Alipokuja kwa mara ya kwanza nchini walimuita Konde Boy. Alipewa jina hilo kwa sababu mbili. Kwa ubora wake kufananishwa na msanii Harmonize. Lakini kwa asili yake kuwa...
Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani.
Please Mr. President , do...
"Kwenye mazoezi Diara anacheza namba sita, huwa anamwambia Mshery kaa golini nishikie kidogo kwanza, ngoja nikakae na Sure Boy pale."- Ali Kamwe, @alikamwe Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga...
Uko vizuri sana kijana na ndio maana kocha kakuona na kakujumisha kwenye kikosi Cha awali Cha timu ya Taifa ya Ivory coast sio jambo dogo!
Lakini imekuwa ngumu kupenya mbele ya wachezaji wakubwa...
KOCHA wa Asec Mimosas, Julien Chevalier amesema hana kizuizi kwa supastaa wake Karamoko Sankara kwenda Yanga, lakini litakuwa pigo kwa timu yake.
Yanga imekuwa ikitajwa kutaka saini ya...
Kumekuwa na hali ya kuupamba sana huu uwanja uliofanyiwa ukarabati wa Amaan Stadium hapa Zanzibar, kwakweli bila kupepesa macho wameshindwa kwenda na mabadiliko na maendeleo ya sasa katika sekta...
Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania...
Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.