Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Utafiti, Kwa mwaka ulioisha timu ya Simba ndiyo timu iliyoongoza Kwa kupata ushindi kupitia magoli ya penalty kwenye michuano ya ndani na nje. Kwenye Kila magoli 3 ya Simba Kuna goli Moja la...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Tetesi kutoka kwenye chanzo Cha kuaminika kutoka nchini Mali kuhusu Kipa wa Yanga SC Djigui Diarra zinasema Kuna timu ya ligi nchini Uturuki inahitaji huduma ya golikipa Huyo Bora ndani ya Africa...
11 Reactions
45 Replies
7K Views
Amri Kiemba nani asiekujua wewe, nimekusikia ukisema uchezaji wa Duchu, Chilunda na Mwinuke haujakushawishi, we nani hadi ushawishike na kiwango chao, wakati unacheza soka ukiibuliwa na Kanali...
16 Reactions
67 Replies
5K Views
Aubin Kramo nimemuona mwenyewe leo Zanzibar akiwa jukwaani amekaa anacheki gemu ya Simba vs Singida, Ahmed Ally kama unanisoma hapa, wazee wangu wa Pemba wamenituma wanamtaka Baleke, Phiri, Kramo...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Muda ni mali, ukiupoteza umepotea siku, nimewahi kufanya kazi ya uandishi wa habari kuanzia mwaka 1998 - 2008 nikiandikia magazeti ya Nipashe na Alasiri na kidooogo sana gazeti la Lete Raha, enzi...
12 Reactions
48 Replies
3K Views
Leo yuko channel ten analia baada ya kukosa swali. Viva Steve lialia
3 Reactions
47 Replies
11K Views
https://www.instagram.com/p/C1oOXzsKn-N/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA== Unajiuliza hiki ni kikundi cha wahuni ama nini. Hata ndondo cup ya kina Shafii Dauda sidhani kama...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari Wakuu ,kweli madhabiki wa simba ni watu wa hovyo tu kwa sababu Siku simba ikofungwa basi wanaanza lawama either kwa viongozi or wachezaji Siku timu ikishinda basi wanasahau matatizo yao...
0 Reactions
1 Replies
325 Views
https://youtu.be/8irfsqXvYXw?si=zl4iDwIz-hgBriu6 Kapiga goli la kuchekesha 😀😀😀😀 Kwanza alitaka kupiga chenga kama Ronaldo, akafanyiwa faulo. Kisha akapiga goli kama Ronaldo My Take Huu mgoli...
2 Reactions
6 Replies
820 Views
Kama wewe unajua mpira na unafuatilia soka la Tanzania huenda utakubaliana na mimi. Ni vigumu mnoo kuwa na mchezaji mwenye sifa hizi. 1. Usikivu wakati wote. 2. Utulivu wakati wote. 3. Umakini...
1 Reactions
3 Replies
893 Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kurusha...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Yanga tunajiandaa kuwakabili Jamhuri SC muda ni saa 2:15 usiku. mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC Wafungaji Ngushi 10', 17', Kibwana 22', Mzize 38', Skudu 45'
10 Reactions
197 Replies
16K Views
Winga machachari (Messi wa bongo) Denis nkane kijana pendwa wa Prof Nabbi leo kapata nafasi ya kucheza Baada ya kukosa mechi kadhaa kwa tatizo la kusumbuliwa na majeraha. Bwana mdogo karudi Tena...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Huenda ni totoz za huko Belgium zinamzuzua, labda ni Pombe, ama kampani mbaya, n.k. lakini kwa umri alionao ni vema abadilike mapema Hapo mwezi uliopita Edo Kumwembe aliwahi kupost kwenye ukurasa...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Coach wa Taifa stars hajamujuisha mshambuliaji hatari wa Tanzania anayecheza KRC Genk ya Belgium Coach huyo alipoulizwa ameapa hatomuita tena kuchezea team ya Taifa kwa utovu wa nidhamu...
4 Reactions
62 Replies
8K Views
Mechi inachezwa saa 2 na robo usiku, je tutegemee kumuona saido, Boco na Bareke? au wataweka kikosi B? Teh ntawaletea updates zote.
4 Reactions
277 Replies
20K Views
Nimejikuta natafakari sana juu ya kauli aliyoitamka Ahmedy Ally (msemaji wa Simba sc) na nikagundua huyu hajui chochote kuhusu mpira Bali ni mshehereshaji tu. Kutokana na kauli yake ya kusema...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar. Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna anae bisha? Kama unabisha ilete timu yako uwanjani. Aidha wakati mnaendelea kuumia, uwekezaji wa Yanga ni serious business guys we are not joking and very straightforward. Na very soon...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Azam ni mamelody Mpya usijiri umekamilika
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom