Ahmedy Ally hajui kuhusu mpira Bali ni mchumia tumbo na siyo mtu wa kumzingatia atakapozungumza mbele ya Camera

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,244
12,767
Nimejikuta natafakari sana juu ya kauli aliyoitamka Ahmedy Ally (msemaji wa Simba sc) na nikagundua huyu hajui chochote kuhusu mpira Bali ni mshehereshaji tu.

Kutokana na kauli yake ya kusema kuwa

"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi, wachezaji na viongozi ndio hata hatulali."

Kitendo Cha kusema Azam Fc hawawezi kutufukia hiyo inaonesha wazi ni namna gani Ahmedy Ally hajui kuhusu mpira Ila NI mshehereshaji tu.

Mechi bado nyingi sana inakuaje unaanza kusema huwezi kufikiwa na wakati ndiyo kwanza upo katika round ya 7?

Bado hujakutana na huyo unaesema hawezi kukufikia hapa inaleta mashaka au Kuna mpango wa kuhonga marefa ili Simba sc isifikiwe?

Na huyo unaemshutumu hawezi kukufikia ndiyo mpinzani wako mkubwa aliyekutoa kwenye kombe la FA katika uwanja wa Nangwanda Sijaona na kupelekea mashabiki kuizomea timu mpaka mwisho wa safari na alichukua pointi 4 katika ligi kutoka kwako.

Ahmedy Ally alizungumza mbele ya camera baada ya kutolewa na Azam kwa masikititiko makubwa sana kuwa "mashabiki wametuzomea mpaka mwisho wa safari"

NALIA NGWENA kupitia hili Jukwaa la michezo pendwa kabisa nakuwaambia waliopo karibu na msemaji wa Simba sc wamuambie awe anachuja kabla ya kuzungumza pumba zake kwani anaidharirisha Simba sc.
 
Kwani kakuomba umzingatie?mbn utopolo mnateseka sana na mambo yasiyowahusu??
 
Na huyo unaemshutumu hawezi kukufikia ndiyo mpinzani wako mkubwa aliyekutoa kwenye kombe la FA katika uwanja wa Nangwanda Sijaona na kupelekea mashabiki kuizomea timu mpaka mwisho wa safari na alichukua pointi 4 katika ligi kutoka kwako.
Hapo hamjaelewana na Ahmed kitu kidogo tu; ni kwamba yeye anazungumza mambo ya msimu huu na wewe unazungumza mambo ya msimu uliopita. Mkikaa mkaelewana naye hamtaanzisha nyuzi
 
Mkuu ,usipanic hata humu mpo wa chehereshaji ,ni vile tu....
 
Hapo hamjaelewana na Ahmed kitu kidogo tu; ni kwamba yeye anazungumza mambo ya msimu huu na wewe unazungumza mambo ya msimu uliopita. Mkikaa mkaelewana naye hamtaanzisha nyuzi
MAMBO YA MSIMU ULIOPITA PIA ALIWAHI KUSEMA KUWA "LIGI YA TANZANIA NI DHAIFU"

HAPO ALIZUNGUMZA BAAYA KUKOSA KOMBE HUYO JAMAA YENU NI UHARO
 
Nadhani Azam ata sign out pale ambapo game yake na Simba itachezwa zote mbili
Kifupi ni baada ya mzunguko wa kwanza
 
Nimejikuta natafakari sana juu ya kauli aliyoitamka Ahmedy Ally (msemaji wa Simba sc) na nikagundua huyu hajui chochote kuhusu mpira Bali ni mshehereshaji tu.

Kutokana na kauli yake ya kusema kuwa

"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi, wachezaji na viongozi ndio hata hatulali."

Kitendo Cha kusema Azam Fc hawawezi kutufukia hiyo inaonesha wazi ni namna gani Ahmedy Ally hajui kuhusu mpira Ila NI mshehereshaji tu.

Mechi bado nyingi sana inakuaje unaanza kusema huwezi kufikiwa na wakati ndiyo kwanza upo katika round ya 7?

Bado hujakutana na huyo unaesema hawezi kukufikia hapa inaleta mashaka au Kuna mpango wa kuhonga marefa ili Simba sc isifikiwe?

Na huyo unaemshutumu hawezi kukufikia ndiyo mpinzani wako mkubwa aliyekutoa kwenye kombe la FA katika uwanja wa Nangwanda Sijaona na kupelekea mashabiki kuizomea timu mpaka mwisho wa safari na alichukua pointi 4 katika ligi kutoka kwako.

Ahmedy Ally alizungumza mbele ya camera baada ya kutolewa na Azam kwa masikititiko makubwa sana kuwa "mashabiki wametuzomea mpaka mwisho wa safari"

NALIA NGWENA kupitia hili Jukwaa la michezo pendwa kabisa nakuwaambia waliopo karibu na msemaji wa Simba sc wamuambie awe anachuja kabla ya kuzungumza pumba zake kwani anaidharirisha Simba sc.
pigia mstari neno kuhonga marefa
 
Hata sijui unaandikaga nininaona MASHUZI tu
 
Back
Top Bottom