Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 479
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kurusha matangazo ya mechi zitakazochezwa katika Mashindano ya Kombe la Mataifa Barani Afrika AFCON mwaka 2027 kwa Lugha ya Kiswahili.
Mhe. Ndumbaro amesema hayo Oktoba 16, 2023 alipofanya ziara Ofisi za Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), ambapo amepongeza juhudi za Baraza hilo katika kubidhaisha lugha hiyo Kimataifa pamoja na kuzalisha wakalimani na Watafsri mbalimbali.