Kilichofanywa na Ali Salim dhidi ya Che Malone ni ushamba na ujinga

ITR

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
4,451
11,359
Jana kwenye mechi kati ya Simba na Singida tulishuhudia malumbano kati ya mlinda mlango wa Simba Ali Salimu na beki wa simba Che Malone baada ya kutokea kosa la kimawasiliano kati yao ambalo kidogo lisababishe goli.

Beki hata kama amekosea kuna namna nzuri ya kumkemea na kumuambia awe makini na sio staili aliyo itumia Ali Salimu jana ule ulikuwa ni udhalilishaji na sio kumkanya beki, cha kushukuriwa ni busara na ustaarabu uliopitiliza wa Che malone tofauti na hapo tungeshudia aibu ya mwaka ya wachezaji wa Simba wakipigana makonde mbele ya hadhara ya mashabiki na wageni rasmi.

Na mbaya zaidi ukijaribu kuangalia kwa umakini lile tukio ambalo kidogo lingesabsbisha goli kosa lilikuwa kwa Ali Salimu mwenyewe kwa kuwa mzito na kuchelewa kuufuata ule mpira aliokuwa ameachiwa na Malone.

Hebu fikiria Alichokifanya Ali Salimu jana angemfanyia mchezaji mwenye akili mbovu kama Kanote, Inonga au Nyoso sasa hivi huyo dogo si angekuwa Muhimbili na mashine za kupumulia akipambania maisha yake?

Huyu dogo inabidi atulize mapepe na ulimbukeni awe ajifunze kuwa na hekima na busara, asidanganywe na kifua chake ipo siku ataingia choo chakike.
 
Huyo sio goli kipa kila mwaka ni Chipukizi hakui tu?
Ni kweli ameanza kucheza zamani kidogo lakini bado ni dogo sana maana hapo simba kaanza kucheza akiwa na miaka 18 tu ila inabidi akue kiakili ahache utoto.
 
Makipa wa timu zetu huwa wanawafokea sana mabeki hata kwa makosa yao wenyewe. Unakuta muda mwingine umepigwa mpira umempangusa ukampita unakuta huyo spidi kwa beki anamfokea.

Kitu hiki sionagi kwa wenzetu.
 
Jana kwenye mechi kati ya Simba na Singida tulishuhudia malumbano kati ya mlinda mlango wa Simba Ali Salimu na beki wa simba Che malone baada ya kutokea kosa la kimawasiliano kati yao ambalo kidogo lisababishe goli.

Beki hata kama amekosea kuna namna nzuri ya kumkemea na kumuambia awe makini na sio staili aliyo itumia Ali Salimu jana ule ulikuwa ni udhalilishaji na sio kumkanya beki, cha kushukuriwa ni busara na ustaarabu uliopitiliza wa Che malone tofauti na hapo tungeshudia aibu ya mwaka ya wachezaji wa Simba wakipigana makonde mbele ya hadhara ya mashabiki na wageni rasmi.

Na mbaya zaidi ukijaribu kuangalia kwa umakini lile tukio ambalo kidogo lingesabsbisha goli kosa lilikuwa kwa Ali Salimu mwenyewe kwa kuwa mzito na kuchelewa kuufuata ule mpira aliokuwa ameachiwa na Malone.

Hebu fikiria Alichokifanya Ali Salimu jana angemfanyia mchezaji mwenye akili mbovu kama Kanote, Inonga au Nyoso sasa hivi huyo dogo si angekuwa Muhimbili na mashine za kupumulia akipambania maisha yake?

Huyu dogo inabidi atulize mapepe na ulimbukeni awe ajifunze kuwa na hekima na busara, asidanganywe na kifua chake ipo siku ataingia choo chakike.
Unatetea ujinga wewe TOPOLO. Ule mpira ungeingia nyavuni wa kwanza kulaumiwa angekuwa ni goalkeeper. Alikuwa analinda kuchafuliwa clean sheet yake kutokana na uzembe wa ukuta wa Yeriko.
 
Kwa hiyo ni sawa kumsukuma namna ile tena zaidi ya mara 3?
Ashukuru tu amekutana mshikaji ni mpole tu tofauti na hapo huyo dogo angepigwa makonde kwa ufala wake.
 
Jana kwenye mechi kati ya Simba na Singida tulishuhudia malumbano kati ya mlinda mlango wa Simba Ali Salimu na beki wa simba Che malone baada ya kutokea kosa la kimawasiliano kati yao ambalo kidogo lisababishe goli.

Beki hata kama amekosea kuna namna nzuri ya kumkemea na kumuambia awe makini na sio staili aliyo itumia Ali Salimu jana ule ulikuwa ni udhalilishaji na sio kumkanya beki, cha kushukuriwa ni busara na ustaarabu uliopitiliza wa Che malone tofauti na hapo tungeshudia aibu ya mwaka ya wachezaji wa Simba wakipigana makonde mbele ya hadhara ya mashabiki na wageni rasmi.

Na mbaya zaidi ukijaribu kuangalia kwa umakini lile tukio ambalo kidogo lingesabsbisha goli kosa lilikuwa kwa Ali Salimu mwenyewe kwa kuwa mzito na kuchelewa kuufuata ule mpira aliokuwa ameachiwa na Malone.

Hebu fikiria Alichokifanya Ali Salimu jana angemfanyia mchezaji mwenye akili mbovu kama Kanote, Inonga au Nyoso sasa hivi huyo dogo si angekuwa Muhimbili na mashine za kupumulia akipambania maisha yake?

Huyu dogo inabidi atulize mapepe na ulimbukeni awe ajifunze kuwa na hekima na busara, asidanganywe na kifua chake ipo siku ataingia choo chakike.
Ali salehe sio dogo yule
 
Che Malone ni mzito na Kila mechi lazima afanye kosa, Sasa Kuna makosa ya bahati mbaya na makosa ya kusudi.
Beki huwezi kumwacha kipa akutane na mshambuliaji mojakwamoja wakati kipa anatumia mikono.
Che Malone anajiamini kuliko uwezo alionao Sasa ao makipa wamesha msoma na Jana ilikua statement ya wazi.
Yote ni kukumbushana kwaajili ya manufaa ya timu.
Kipa angekua Juma pondamali ndugu Malone ange chezea makofi hdharani.
 
Kwa tuliopita kwenye shule rasmi za soka tunaweza kufahamu kwamba, kamwe mlinda mlango hatakiwi kuwa mnyonge, au anayebembeleza beki wake.

Anatakiwa kuwa mbabe kwa kiasi cha kutosha. kama ana sauti ya kutosha afoke mpaka uwanja mzima usikie. Ahimize timu kushambulia na kurudi kulinda.

Hata Ayoub naye aliwahi kumfokea Kennedy Juma kwa namna ileile, akimkumbusha anakopaswa kuwa akiwa kwenye nafasi ya kuanzisha mpira golini.

Alimweleza kwa kufoka na ishara za mikono, wakati akitaka kuanzisha Kennedy anapaswa kuwa kwenye boksi la golini kama ilivyokuwa kwa mwenzake Che Malone.

Ova
 
Na ni mbaya sana kum provoque mtu mzima maana hajui jamaa akiwa na hasira huwa anafanya Nini.

Binafs nilipoona clip nilistuka mana jamaa kama angerusha ngumi pale : ukweli wangepigana na ni aibu.

Kuna namna dogo afundishwe nidham na awe responsibile. Wajifunze kwa ayub jamaa ni mstaarabu sna

Jamaa yule dogo kafanya makosa 2

1. Kumfokea mchezaji mwenzie hadharani as yeye ni father

2. Kumshika, that was a turning point afundishwe asifanye hivo Tena maana next time anaweza kuvunjwa shingo na kisheria yeye ndio anashida.

Kuna msemo unasema ongea but usiniguse….. maana ukinigusa you are provoking me and I will act and defend

Mfikishieni huu ujumbe, asioneshe Kama yeye yupo serious kuliko wengine.

Binafsi nimemdharau sana na nilikuwa namuona ni kijana mwenye career path Nzuri kumbe ni uharo kama uharo mwingine

respect to malone, such a gentleman. Kama sio busara zake , jana SSC ingeingia kwenye aibu ya mwaka.

Ongea but don’t touch me , hiyo ni principle hata Mahakaman ; ukianza kunigusa means unahitaji vita na nitakulipua.

Guys kufoka hakukufanyi uonekana upo serious na kazi . Just know how to deliver message in a respect way na utaheshimika

Huyu dogo ni MMAKONDE au yaani ni pure Baribarian( uncivilized society)
 
Che Malone ni mzito na Kila mechi lazima afanye kosa, Sasa Kuna makosa ya bahati mbaya na makosa ya kusudi.
Beki huwezi kumwacha kipa akutane na mshambuliaji mojakwamoja wakati kipa anatumia mikono.
Che Malone anajiamini kuliko uwezo alionao Sasa ao makipa wamesha msoma na Jana ilikua statement ya wazi.
Yote ni kukumbushana kwaajili ya manufaa ya timu.
Kipa angekua Juma pondamali ndugu Malone ange chezea makofi hdharani.
Beki angekuwa Nyoso Ally Salim angekuwa ICU mpaka sasa.
Kakosea au lah Huruhusiwi Kumgusa.
Kuna mtu aliwahi kumgusa anavyowatemea mabeki mipira?
 
Kwa tuliopita kwenye shule rasmi za soka tunaweza kufahamu kwamba, kamwe mlinda mlango hatakiwi kuwa mnyonge, au anayebembeleza beki wake.

Anatakiwa kuwa mbabe kwa kiasi cha kutosha. kama ana sauti ya kutosha afoke mpaka uwanja mzima usikie. Ahimize timu kushambulia na kurudi kulinda.

Hata Ayoub naye aliwahi kumfokea Kennedy Juma kwa namna ileile, akimkumbusha anakopaswa kuwa akiwa kwenye nafasi ya kuanzisha mpira golini.

Alimweleza kwa kufoka na ishara za mikono, wakati akitaka kuanzisha Kennedy anapaswa kuwa kwenye boksi la golini kama ilivyokuwa kwa mwenzake Che Malone.

Ova
Kwenye shule za soka mlifundishwa kupigana mwenzako akikosea?
 
Jana kwenye mechi kati ya Simba na Singida tulishuhudia malumbano kati ya mlinda mlango wa Simba Ali Salimu na beki wa simba Che malone baada ya kutokea kosa la kimawasiliano kati yao ambalo kidogo lisababishe goli.

Beki hata kama amekosea kuna namna nzuri ya kumkemea na kumuambia awe makini na sio staili aliyo itumia Ali Salimu jana ule ulikuwa ni udhalilishaji na sio kumkanya beki, cha kushukuriwa ni busara na ustaarabu uliopitiliza wa Che malone tofauti na hapo tungeshudia aibu ya mwaka ya wachezaji wa Simba wakipigana makonde mbele ya hadhara ya mashabiki na wageni rasmi.

Na mbaya zaidi ukijaribu kuangalia kwa umakini lile tukio ambalo kidogo lingesabsbisha goli kosa lilikuwa kwa Ali Salimu mwenyewe kwa kuwa mzito na kuchelewa kuufuata ule mpira aliokuwa ameachiwa na Malone.

Hebu fikiria Alichokifanya Ali Salimu jana angemfanyia mchezaji mwenye akili mbovu kama Kanote, Inonga au Nyoso sasa hivi huyo dogo si angekuwa Muhimbili na mashine za kupumulia akipambania maisha yake?

Huyu dogo inabidi atulize mapepe na ulimbukeni awe ajifunze kuwa na hekima na busara, asidanganywe na kifua chake ipo siku ataingia choo chakike.
It was not serious it was jokes mkuu hivi ulicheza mpira kweli ile ni kawaida onana aliwahi kutaka kumnasa kibao Maguire ila kwenye dressing room mambo ni tofauti sana.
 
Back
Top Bottom