Kuonesha kwamba timu ya SIMBA ni timu iliyobarikiwa na MUNGU kwa kutandaza soka tamu la viwango vya CAF na kuthibitishwa na FIFA,
CAF wameamua kuipanga siku ya ijumaa iwe siku ya mechi pekee ya...
Kiukweli watanzania tumekuwa na hamu sana ya kuona timu zetu zinafanya vizuri sana kimataifa.
Lakini inatakiwa juhudi kubwa sana ya nje ya uwanja na ndani ya uwanja.Tena tunatakiwa tuwe na uwezo...
Kila nikifungulia Redio ni Yanga Sc vs Mamelodi Tena wachambuzi wanaamini kabisa kuwa Yanga sc itafungwa maana wanavyoipamba Mamelody Fc Kama shabiki una moyo mdogo unaweza usiende uwanjani.
Hii...
Kipindi hiki mashabiki wa Simba na Yanga tumevamia page za Mamelodi na Ahly kwa shobo na mbwembwe.
Watu wanaweka comment, hadi ukichungulia unaona hivi hawa watu wanatuonaje watanzania...
Michael Jordan ndiye mwanamichezo mwenye pesa kuliko wanamuziki wa Marekani.
Jamaa ana dola bilioni 3.2.
Jay Z ana dola ana dola bilioni 2.5.
P Didy ana dola milioni 800
Dr Dre ana dola...
Mechi ya Yanga na Mamelod imenikumbusha mchezo wa rede ambao huwa hauna viingilio. Imenikumbusha pia disco ambazo viingilio huwa bure kwa wanadada warembo.
Hili jambo viongozi na mashabiki wa...
Wametua bana, mmeona pia mfuturishe bure uwanjani ili watu wajae mfanye yale mambo yetu.
Cwezi vaa jezi ya Mamelodi lakini siwezi kushangilia ushindi wa Yanga hata iweje.
Ukubwa wa mechi kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na ile ya Yanga vs Mamelodi Sundowns ushakuwa wazi tangu tarehe 12/03/2024 ilipopangwa droo ya CAF robo fainali.
Tangu hiyo siku mpka Leo,kati ya...
-
Huwa binafsi mimi na wachezaji wangu tunatembea bila viatu wakati tunapoukagua uwanja wa wapinzani wetu #CAFCL, wasiotufahamu haswa katika michezo ya kimataifa huhisi ni uchawi wetu ila ukweli...
Astaghafir! Astaghafir! Astaghafir NALIA NGWENA na akili yangu timamu Mimi huyu nikaishaingilie Simba SC eti kwa kuwa Waziri Kasema tuweke uzalendo ni ngumu sana Tena sana na haitotokea.
Siwezi...
Mkuu wa msafara wa Al Ahly Hossam Ghally amesema kizuizi kikubwa kwao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC ni uwepo wa kocha Abdelhak Benchikha.
Al Ahly inatarajiwa...
Tabia ya watu kuingia uwanjani bure kuangalia Match ambayo walipaswa kulipia ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa.
Mentality za ubure ni mentality za kuhamasisha umasikini. Watu wazoezwe kuwajibikia...
Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Silas Lucas Isangi akikabidhi vifaa vya Michezo kwa nahodha wa timu Dectaforce Boniface na Msaidizi wake Hamida Nassoro Mussa Kwa niaba ya Wanariadha 9 na...
[emoji187]Utafiti mdogo unaonesha asilimia zaidi ya 90 ya Watanzania kwa sasa hivi, wanaifutilia zaidi klabu ya Yanga kuliko klabu nyingine yoyote Tanzania hii. Kuanzia mitaani, runingani na...
Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi...
Kila nikipita mitandaoni Huwa nacheka sana kuona makolo [emoji250] [emoji250] wakifarijiana Kwamba wataenda semi final there for wamtoe Al ahly hizi ni ndoto za abunwasi ( waste of time)
Yaani...
Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la mashabiki wake pamoja na walinzi wake wa uwanjani (stewards)kupanga njama na kufanikisha azma ya kuingia uwanjani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.