Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Washabiki wa Simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya Al Ahly yaani wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Hii kampeni bila shaka imeasisiwa na wanasiasa wasio fahamu utani wa jadi uliopo kati ya simba na yanga. Ukiwa shabiki wa timu mojawapo ya hizi timu huwezi kuiombea mema timu ya upande wa pili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu nimeona maono ya uhakika kabisa game hii ya simba ipo hivi ft itaisha kwa simba kufungwa anaebisha asubiri dk 90
3 Reactions
17 Replies
793 Views
(1) Jina la 'Al-Ahly SC' Jina lilipendekezwa na Amin Samy Amin, ambaye alipendekeza kuwa jina hilo ni sawa na neno "taifa" katika Kiarabu cha Misri. Lengo la jina ni kuwahudumia wanafunzi na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Simba imepata nafasi zaidi ya 20 za mashambulizi mazuri kutengeneza magoli ya wazi kabisa wameshindwa, umakini ni mdogo mno wanapokaribia lango la adui Tatizo sio kocha, tatizo la simba ni...
-1 Reactions
11 Replies
672 Views
Hizi ni dharau kubwa sana kuona timu zetu zinafika hatua nzuri katika michuano ya kimataifa lakini zinashindwa kusonga mbele Tena zinafungwa uwanja wa nyumbani. Nilishawahi Kuandika humu baada ya...
1 Reactions
1 Replies
303 Views
Tuiombee simba ifikapo Misri mchezo wa marudiano.
6 Reactions
13 Replies
892 Views
Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo. Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeshangazwa na mashabiki wa Simba sc wakiongozwa na Msemaji wao Ahmedy Ally (kisipika) akijinadi kuwa Al ahly atafungwa kwa kuwa Wanakocha mzuri aliyewahi kuchukua Super cup mbele ya Al ahly...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Juzi tumeanza kwa kutoa Sadaka kwa Watoto Yatima na Wasiojiweza na Leo Alrajiri Jini ameshashibishwa Chakula chake pendwa cha Damu huku Watu Maalum wakifuata Kitu fulani Ajalini ambacho Babu...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine ile ya kwa mkapa hatoki mtu leo huenda inavunjwa kama alivyofanya Raja Casablanca. Alhalyl ni timu ambayo inaleta matokeo popote pale , hardly Ahly kufungwa goli tatu kama...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Leo Mnyama Simba a.k.a watukutu wa Kariakoo wanarusha kete yao ya kwanza dhidi ya Club ghali, bora zaidi Afrika Al-ahly ya Misri, ktk mashindano ya klabu bingwa Afrika, ikiwa ni ktk hatua ya robo...
1 Reactions
5 Replies
626 Views
Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni😂😂
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Msemaji wa timu ya Tabora United FC, Christina Mwagala amemjia juu Mchambuzi wa Soka, Jemedari Said kufuatia kauli aliyoitoa juu ya kinachoendelea kwenye timu hiyo. "Nafikri wewe kibabu Jemedari...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Ni masaa machache tu yamebaki kabla ya Simba kuwavaa waarabu, Nina sababu kubwa mbili kuwaunga mkono Simba kwenye mechi ya Leo. Ni CAF kutupa vigogo wote ili tutolewe kwenye mashindano ili...
2 Reactions
4 Replies
569 Views
NDOTO ya kulipwa mishahara mikubwa na kwenda kuanza maisha kwenye ligi mpya ya Saudi Pro League imegeuka kuwa majanga kwa baadhi ya wanasoka duniani na sasa wanatafuta njia ya kurudi Ulaya. Kundi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
9 Reactions
123 Replies
7K Views
Simba atashinda Yanga atashinda Hilo nina uhakika nalo 100% Nchi imewaita na kuwaambia waache ubinafsi, kwahiyo hawa jamaa wako pamoja ila kila mmoja anafanya lake. Ushindi kwa timu hizi...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Me ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom