Mimi kuishangilia Simba SC ni sawa na shekh anayelazimishwa kula nguruwe, siwezi na haitotokea mpaka nakufa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,737
Astaghafir! Astaghafir! Astaghafir NALIA NGWENA na akili yangu timamu Mimi huyu nikaishaingilie Simba SC eti kwa kuwa Waziri Kasema tuweke uzalendo ni ngumu sana Tena sana na haitotokea.

Siwezi kuishangilia timu ambayo Ina viongozi waongo sana viongozi waliokuja wakawadanganya Umma kuwa watamsajili Manzoki na Kwenye mkutano watamleta lakini hawajamleta.

Siwezi kuishangilia timu ambayo kupata matokeo point tatu muhimu mpaka itume shabiki akafukie vitu kwenye goli la timu pinzani.

Siwezi kuishangilia timu ambayo viongozi wake wakisiki timu pinzani (mtani) kaweka bajeti yake kiasi Fulani basi na WAO wanapandishia kwa juu ili kuwafariji mashabiki.

Ni ngumu mno NALIA NGWENA kuishangilia timu ambayo Wanafanya usajili wa buku jero Kama alivyosema aliyekua kiongozi WAO kaduguda.

Kwa kweli siwezi kuishangilia timu ambayo boss wao tajiri (muhindi) mbahili mno huwa anajitokeza na kuinanga timu pamoja na mashabiki.

Nasema siwezi Tena siwezi na sikubali kushangilia timu ambayo toka ianze safari ya kupambana kimataifa inaishia Robo robo tu.

Asalam alykum! Karibu sana timu yangu ya toka utotoni Al ahly karibu kwa Mkapa uwanyooshe /kata mkia watoto wa Mudi.
 
Ukinuna Napost tena
FB_IMG_1711470815499.jpg
 
Aaaahaaa
Mungu awape Al Ahyl maisha marefu
 
Acha Ushamba babu NALIA NGWENA, masheik wanakulaga kitimoto sema we hujawahi kuwashuhudia kwa sababu upo katika level ya kina pangu pakavu tia mchuzi.

Tembelea machimbo wanavyopenda kwenda kina GSM na masheik wenzao waliichangamka huwa wanashushia kitimoto kwa raha zao.

Narudia tena kukushauri ACHA USHAMBA.
 
JIKITE KWENYE HOJA.
 
Astaghafir! Astaghafir! Astaghafir NALIA NGWENA na akili yangu timamu Mimi huyu nikaishaingilie Simba SC eti kwa kuwa Waziri Kasema tuweke uzalendo ni ngumu sana Tena sana na haitotokea.

Siwezi kuishangilia timu ambayo Ina viongozi waongo sana viongozi waliokuja wakawadanganya Umma kuwa watamsajili Manzoki na Kwenye mkutano watamleta lakini hawajamleta.

Siwezi kuishangilia timu ambayo kupata matokeo point tatu muhimu mpaka itume shabiki akafukie vitu kwenye goli la timu pinzani.

Siwezi kuishangilia timu ambayo viongozi wake wakisiki timu pinzani (mtani) kaweka bajeti yake kiasi Fulani basi na WAO wanapandishia kwa juu ili kuwafariji mashabiki.

Ni ngumu mno NALIA NGWENA kuishangilia timu ambayo Wanafanya usajili wa buku jero Kama alivyosema aliyekua kiongozi WAO kaduguda.

Kwa kweli siwezi kuishangilia timu ambayo boss wao tajiri (muhindi) mbahili mno huwa anajitokeza na kuinanga timu pamoja na mashabiki.

Nasema siwezi Tena siwezi na sikubali kushangilia timu ambayo toka ianze safari ya kupambana kimataifa inaishia Robo robo tu.

Asalam alykum! Karibu sana timu yangu ya toka utotoni Al ahly karibu kwa Mkapa uwanyooshe /kata mkia watoto wa Mudi.
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu pole sana
 
Astaghafir! Astaghafir! Astaghafir NALIA NGWENA na akili yangu timamu Mimi huyu nikaishaingilie Simba SC eti kwa kuwa Waziri Kasema tuweke uzalendo ni ngumu sana Tena sana na haitotokea.
Sijaona mahali ambapo Waziri amesema ukaishangilie Simba. By the way, hata hakujui
 
Astaghafir! Astaghafir! Astaghafir NALIA NGWENA na akili yangu timamu Mimi huyu nikaishaingilie Simba SC eti kwa kuwa Waziri Kasema tuweke uzalendo ni ngumu sana Tena sana na haitotokea.

Siwezi kuishangilia timu ambayo Ina viongozi waongo sana viongozi waliokuja wakawadanganya Umma kuwa watamsajili Manzoki na Kwenye mkutano watamleta lakini hawajamleta.

Siwezi kuishangilia timu ambayo kupata matokeo point tatu muhimu mpaka itume shabiki akafukie vitu kwenye goli la timu pinzani.

Siwezi kuishangilia timu ambayo viongozi wake wakisiki timu pinzani (mtani) kaweka bajeti yake kiasi Fulani basi na WAO wanapandishia kwa juu ili kuwafariji mashabiki.

Ni ngumu mno NALIA NGWENA kuishangilia timu ambayo Wanafanya usajili wa buku jero Kama alivyosema aliyekua kiongozi WAO kaduguda.

Kwa kweli siwezi kuishangilia timu ambayo boss wao tajiri (muhindi) mbahili mno huwa anajitokeza na kuinanga timu pamoja na mashabiki.

Nasema siwezi Tena siwezi na sikubali kushangilia timu ambayo toka ianze safari ya kupambana kimataifa inaishia Robo robo tu.

Asalam alykum! Karibu sana timu yangu ya toka utotoni Al ahly karibu kwa Mkapa uwanyooshe /kata mkia watoto wa Mudi.
Hatuhitaji nuksi kama wewe kuishangilia Simba.
 
Back
Top Bottom