UTABIRI: Simba kutoka sare ya 1-1 na Al Ahly

Kaptula la max

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
1,776
2,695
Mchezo utapigwa kesho utabiri wetu Ni 1-1😆

IMG20240328142524.jpg
 
Mpira hauchezwi mdomoni. Mpira unachezwa uwanjani. Hiyo sare mpaka ipatikane, ni lazima wachezaji wa pande zote wavuje jasho ndani ya dakika 90 za mchezo.
 
Katika maono yangu nimeona mwarabu akikosa goli la wazi kabisa japo matokeo sikuyaona ila nimeona tu mwarabu goli la wazi kashidwa kumalizia.
 
Back
Top Bottom