ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,386
- 5,229
Kipindi hiki mashabiki wa Simba na Yanga tumevamia page za Mamelodi na Ahly kwa shobo na mbwembwe.
Watu wanaweka comment, hadi ukichungulia unaona hivi hawa watu wanatuonaje watanzania tunaonekana malofa mno.
Team inaweza kupost mazoezi likatokea shabiki lina comment " yanga wana majini mjipange, mara mbumbumbu, mara ujinga gani, mara waziri katuzuia tusivae jezi kuwashangilia"
Yaani Watanganyika tupo kama mazuzu, hatuna ustaarabu wengi ni mapoyoyo.
Kabla ya draw Mamelod walikuwa wakipost hawazidi comments 50 ila kwa sasa wakipost comments zinafika zaidi ya 5000 na wanaocomment ni Watanganyika wapumbavu wala Wazulu hawana habari na Mamelod ila wabongo ni kubwabwaja kama malofa.
Nadhani Serikali itoe elimu sahihi juu ya matumizi sahihi ya mitandao, tupunguze japo kutia aibu huko duniani.
Muwe na wasaa mwema