Hakika hii ya Simba na Al Ahly ni kithibitisho tosha kwamba ni mechi kubwa na yenye msisimko hapa barani africa na duniani kwa ujumla

Pettymagambo

JF-Expert Member
Aug 21, 2017
1,423
7,911
Kuonesha kwamba timu ya SIMBA ni timu iliyobarikiwa na MUNGU kwa kutandaza soka tamu la viwango vya CAF na kuthibitishwa na FIFA,

CAF wameamua kuipanga siku ya ijumaa iwe siku ya mechi pekee ya wanaume watupu (wekundu watupu) SIMBA na AHLY huku mitimu mingine lundo ikipangiwa kucheza siku moja ya jumamosi, yaani utachagua mwenyewe uangalie mazembe v petro ama esparance v asec pamoja na ile game ya wasiojulikana v masandawana ama ubuthu botho aka mme wao.

Yaani CAF wamejua kutuheshimisha wanalunyasi ila sema tu ndo hivyo tena timu letu bovu kama radio la mbao zama hizi za radio za kuchaji! dah!
 
Umeongea kwa hasira sana Aya ya mwisho
Ndo hivyo tena, japo CAF wanatamani lile bato la mashabiki wa simba na ahly mitandaoni, kiwanjani timu letu ni bovu kupindukia, ni kama wale asec mimosas tu.
 
Washaa Kwanzaa mjani akilii ipoozwee mkuu
FB_IMG_1711018684569.jpg
 
Muhimu tu baada ya dakika 90 za mchezo; tusisikie kelele za kuwakataa wachezaji, na pia mwenyekiti wenu Mangungu.
 
Back
Top Bottom