Hivi kweli Arsenal F.C. hawaogopi? 😅
Hii si ile PSG ya Lionel Messi, Neymar na vibes za Paris nights, hii ya sasa ni tofauti kabisa. Hakuna show nyingi, hakuna kutembea uwanjani. Hawa wanakaba...
Pasipo kupepesa na kumumunya maneno top four yangu ni
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Manchester City
hii ndiyo top four yangu lakini huenda kukawa na mabadiliko ndani ya top four hii...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeiomba FIFA kurejesha pesa za tiketi za Kombe la Dunia la 2026 zilizonunuliwa na mashabiki ambao sasa hawawezi kusafiri kwenda Marekani kutokana na vikwazo...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amemteua Haji Manara kuwa Msemaji wa Timu za Taifa za Tanzania, akifanya kazi chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT).
Waziri...
Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo 'Julio': “Sometimes napenda Kujilipua, singoji mpaka nife mje mnisifie, kazi aliyofanya Hemed Morocco, Juma Mgunda na mimi kuipeleka timu AFCON afu tukatolewa...
Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais...
Uchambuzi wa mpira wa miguu (Football Analysis) si kubahatisha matokeo tu — ni uelewa wa kina wa jinsi mchezo unavyochezwa kupitia takwimu, mbinu, na maamuzi ya timu na wachezaji ndani ya uwanja...
Sidhani kama kuna mtu anabeti/alibeti kunishinda mimi!
Betting ina addiction ile mbaya, ikikukumba siyo rahisi kuacha.
Hongera nyingi kwa aliegundua hii michezo, alitumia akili kwelikweli...
Wakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti.
Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu...
Nimesoma sehemu kuwa kampuni za kubeti zinadhulumu watu walioshinda pesa nyingi. Kuwa zinabadilisha betting. Kama uliweka timu fulani ishinde wao wanabadili kuwa uliweka ifungwe kwa hiyo wanachana...
I hate Barcelona,
Nawachukia Barcelona
Laki tatu siyo ndogo.
Nawachukia.
Why ball position iwe 78 then ushindwe kuifunga timu mchekea like as Valencia?
Kwa taarifa zenu hafilisiki mtu
Arsenal Bingwa.
Salam wakuu,
Hatimaye baada ya miaka 22, Tumeona tena jua, nani ajuaye, huenda tukaleta Emirates UEFA trophy hapo Jmos.
Sasa niambieni wapi panauzwa jezi OG za team za mbele kwa...
Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameshauri Wizara ya michezo kupitia BMT wapitie na wapendekeze kima cha chini cha mishahara ya wachezaji kwenye Ligi mbalimbali nchini hususani Ligi kuu.
Amesema...
Itakuwa aibu kubwa kwa Simba kuendelea kushuhudia Yanga wakibeba kombe mara ya tano mfululizo. Simba wanapaswa kufanya kila linalowezekana nje ya uwanja kulinda heshima yao.
Kama ni kuwavuruga...
Mechi kati ya Simba na Dodoma Jiji inapigwa leo, Mei 24, 2026 kwenye uwanja Wa KMC, Simba inaingia kwenye mche huu ikiwa nyumba ya Yanga kwa pointi 2, Ikiwa na alama 55 ya pili kwenye msimamo huku...
Yanga imeendelea kuwa na moto, inautaka ubingwa "wake”, hiyo ni baada ya kuichapa Namuongo, hivyo kuendelea kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya pointi mbili dhidi ya Simba ambayo...
Lionel Messi, nahodha wa Inter Miami na Argentina jana aliumia kwenye mchezo wa ligi ya MLS.
Messi alitolewa dakika ya 73 na kuelekea moja kwa moja kwenye vyumba vya kubadilishia nguo huku...
Real Madrid wanatarajiwa kumrejesha kocha wao wa zamani José Mourinho baada ya zaidi ya muongo mmoja. Inadaiwa kuwa “deal” hiyo imekamilika, huku ikielezwa kuwa Mourinho alikuwa na nia ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.