NBA Ilianzishwa mnamo Juni 6, 1946, kama Chama cha Mpira wa Kikapu cha Amerika (BAA), ilipitisha jina la NBA mnamo 1949 baada ya kuunganishwa na Ligi pinzani ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL)...
Kikosi cha Kombe la Dunia cha DR Congo kitalazimika kujitenga kwa uangalizi maalum wa afya nchini Ubelgiji kwa siku 21 mfululizo ili kuruhusiwa kuingia Marekani. Hatua hiyo ya kiusalama imewekwa...
Adhabu ilipotolewa mkaja na Propaganda ya Kujenga Bondeni Mafurikoni kwenu ili muwazuge Mashabiki wenu Mbumbumbu na kweli wakawaamini japo naona Siku hizi wapo baadhi wanaanza kuwa na Akili...
Sport Fishing ni Uvuvi wa Samaki katika bahari, Maji ya ziwa, bwawa au mto Kwa ajili ya kujifurahisha, burudani au Mashindano. Hii ni aina tofauti na Uvuvi wa Samaki wa biashara na kujikimu, huu...
Baada ya miaka mingi ya kutawala soka la England, Pep Guardiola ameondoka Manchester City. Habari hii inaweza kuonekana kama mwisho wa enzi moja, lakini pia inaweza kuwa mwanzo wa enzi nyingine...
Wakuu mida hii kuna fainal ya Europa League
Ni kati ya Freiburg Vs Aston Villa
Kocha wa Villa, Unai Emery ndio fundi wa kubeba ndoo hii, je leo atachukua tena akiwa na Villa?
Bila ya kujali msimamo wa ligi ulivyo hivi sasa, mechi sita za mwisho za ligi kuu Tanganyika, ndizo zitakazoamua nani atakuwa bingwa Kwa msimu wa mwaka 2025/2026.
Wakati Simba itaanza na Dodoma...
Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia
Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa...
Guys
inaonekana kalazimishwa kuja TZ.body language imekataa kabisa aha hanha ila sisi ndo tunashoboka hatari.
Ukimwangalia yaani kama haelewi kinachoendelea endelea anabaki kushangaa shangaa...
Mtanange uko live
Mamelodi wanaongoza 1-0.
Kipindi Cha pili kinataka kuanza VAR haifanyi kazi.
Refa anasema tukipige bila VAR, Mamelodi wanasema sawa, ila AS FAR RABAT wanasema hapana. VAR...
The 2026 UEFA Champions League final between Paris Saint-Germain and Arsenal will take place on Saturday, May 30, 2026, at the Puskás Aréna in Budapest, Hungary.
UEFA.com
Kick-off is scheduled for...
Rio Fernand kimeshasnza kumlamba huko, sisi tulimshauri akashupaza shingo.
Mashirika ya haki za binadamu yamemulaumu kwa hatua yake ya kuitembelea Tanzania nchi ambayo imemwaga damu nyingi sana...
Takribani miezi 10 ama 11 hivi nilikuwa sijagusa mpira, siku hiyo mwili wangu unatamani mpira kuliko chochote, hata ule mchezo wa mguu bara mguu pwani siutamani kama ambavyo nimeamka na tamaa ya...
Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners.
[1] Kukwepa magonjwa ya moyo.
[2] Imeshindwa kutwaa...
Ijulikane kama mmemleta kwa ajili ya Simba au Tanzania. Maana naona ujinga mwingi sana unaendelea. Anasemaje anataka aonane na wachezaji wa Simba? Ili iweje? Itokeeje? Ikaaeje?
Ni upuuzi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.