Tabiri top four ya EPL msimu mpya wa mashindano 2025/26.

Tabiri top four ya EPL msimu mpya wa mashindano 2025/26.

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,708
Reaction score
19,587
Pasipo kupepesa na kumumunya maneno top four yangu ni
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Manchester City

hii ndiyo top four yangu lakini huenda kukawa na mabadiliko ndani ya top four hii kuna timu zitashuka,kupanda ila licha la kupanda na kushuka top four zitabaki hizohizo 4

weka top four yako.
 
Pasipo kupepesa na kumumunya maneno top four yangu ni
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Manchester City

hii ndiyo top four yangu lakini huenda kukawa na mabadiliko ndani mwa top four hii kuna timu zitashuka,kupanda ila licha la kupanda na kushuka top four zitabaki hizohizo 4

weka top four yako.
Chelsea hana uwezo wa kutwaa ubingwa
 
Back
Top Bottom