Arsenal bingwa, nipeni chimbo la jezi OG Dar

Arsenal bingwa, nipeni chimbo la jezi OG Dar

Bodega

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
206
Reaction score
349
Arsenal Bingwa.

Salam wakuu,
Hatimaye baada ya miaka 22, Tumeona tena jua, nani ajuaye, huenda tukaleta Emirates UEFA trophy hapo Jmos.

Sasa niambieni wapi panauzwa jezi OG za team za mbele kwa hapa Mjini Daslam. NIKANUNUE YA ARSENAL.

Nawatakia siku njema. ARSENAL BINGWA.
Tukutane Jmos, Arsenal Piga PSG, piga.
 
Nenda Mlimani City

Lakini Jitahidi Kuchagua Team Za Kushabikia Siyo Kila Team Umo
 
Arsenal simba na Madrid. Period.
Vp bei pale mkuu haitakua 80k per piece 😂
Yani jezi ya arsenal OG uipate kwa 80k?

Hauko serious,hiyo pesa hata jezi ya Tot inayoshuka daraja huwezi kupata.
 
Yani jezi ya arsenal OG uipate kwa 80k?

Hauko serious,hiyo pesa hata jezi ya Tot inayoshuka daraja huwezi kupata.
Sema chimbo lilipo mzee be positive, au uko Kigoma 😂
 
Agiza kupitia website yao. Jezi Original bei kuanzia laki 3 kuendelea huko
 
Back
Top Bottom