Nimejikuta naanzisha huu Uzi maalumu baada ya kusikiliza kituo Fulani chenye wachambuzi wa mchongo wao ni kuponda timu hata ifanye mazuri gani.
Kiufupi hawajui chochote kuhusu mpira/football...
Jamani naomba mnisaidie nimeweka pesa kwenye account yangu ya gal spot toka jana pesa yangu haijaingia kwenye account yangu lakini Salio limekatwa na ujumbe nimepokea wa kukamilika kwa muamala
Kila mwaka, Dunia ya soka husimama kwa dakika chache. Sio kwa sababu kuna fainali ya Kombe la Dunia, Sio kwa sababu kuna Clasico, wala sio kwa sababu kuna usiku mwingine wa kichawi wa Ligi ya...
Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa.
Samia...
Rais wa Argentina, Javier Milei, amesema hatahudhuria fainali ya Kombe la Dunia itakayozikutanisha Argentina na Uhispania, akieleza kuwa uamuzi huo unatokana na imani yake.
Akizungumza kuhusu...
Moja ya dabi kubwa zaidi katika historia ya Kombe la Dunia itaandika sura mpya jijini Atlanta, ambapo England na Argentina zitakutana kwa mara ya sita katika mashindano haya huku nafasi ya kutinga...
On 18 April 2007, Messi scored a goal against Getafe CF which was very similar to Maradona's Goal of the Century, scored against England in the 1986 World Cup. The world's sports press exploded...
Mabingwa mara mbili wa Kombe la Dunia, Ufaransa, watakutana na mabingwa wa mara moja Hispania katika mchezo wa nusu fainali utakaochezwa Texas, huku mataifa hayo mawili makubwa ya soka barani...
Wakati Morocco ikiendelea kuandika historia uwanjani katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026, inaendelea na mipango mukubwa ya ujenzi wa uwanja baada ya kuwa mwenyeji wa Fainali ya Kombe la Dunia la...
Yanga wamelitumia tena Nyumba lao ambalo walilipa jina la Nyumba la maajabu pale Major Isamuhyo Stadium katika mchezo wao wa ligi kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania.
Tarehe 3 Mei, 2026 Yanga...
Ni mechi ambayo inaenda kukumbushia historia ya vizazi vingi katika nyanja mbalimbali
Huko Atlanta, Lionel Messi atacheza dhidi ya Uingereza kwa mara ya kwanza katika taaluma yake huku mabingwa...
Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali.
Furaha iliyoje.
Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali.
Furaha iliyoje.
Ureno...
Hisia zangu zinaniambia England anamtoa Argentina counter attack za England zinaweza zikawa mwiba mkali kwa Argentina. England watamnyima space Argentina kitu ambacho kitawapa wakati mgumu
Kwa heshima na taadhima naomba huu uzi usihamishwe.
Wakuu nataka kujaribu bahati yangu, nina kiasi hiko cha fedha nikigawanye
Nikigawanye mara tatu, nusu fainali kati ya Argentina na England...
Tickets for the later stages of the 2026 FIFA World Cup are commanding record-high prices. Resale and official last-minute tickets are generally starting between $1,000 to $2,000 for...
Kufuatia kuongezeka kwa joto la mivutano baada ya Senegal kungolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia, serikali ya nchi hiyo imeingilia kati na kuliagiza Shirikisho la Kandanda la Senegal (FSF)...
Tiketi ni za moto sana na maisha ya USA yapo juu mno ndio maana atuoni matangazo ya makampuni kutoa ofa ya watu kwenda kuona hata mechi moja
Tiketi ya bei chee ni 30m+ huu ni mtaji
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeanzisha mauzo ya vipande vya nyasi halisi vitakavyotumika kwenye mechi ya fainali ya Kombe la Dunia 2026, hatua iliyozua mjadala mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.