Mfalme wa safu ya kiungo ya PSG. Ndiye pekee kati ya viungo watatu wa kwanza wa PSG aliyedumu dakika zote 120.
Na katika muda wa nyongeza, alikuwa tishio kubwa zaidi la PSG katika mashambulizi...
Pia soma...
~ Serengeti Boys yatinga Fainali ya AFCONU17 2026, baada ya kumuondoa Misri kwa mikwaju ya penati
~ Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu...
Mjadala huu umekuwa mkubwa hasa kutokana na viwango walivyoonesha makipa wote.
Je, kocha wa Uhispania aendelee kumuamini Unai Simón ambaye amekuwa chaguo la kwanza kwenye mechi zote za kufuzu...
Hata wenyewe mmeona, wanatumiwa nauli na kupewa posho nzito akina Drogba, lakini nyinyi mliotoa Jasho na damu kwa ajili ya Nchi yenu mnaendelea kupigwa vumbi
Pole Lunyamila na wenzako, Tenda Wema...
Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves...
Huyu jamaa Pep Guardiola kocha mstaafu wa Man City anasifa za kibaguzi sana.
Hapendi wachezaji weusi wa kiafrika.
Yahya Toure na Samuel Etoo wameshawahi kumlalamikia sana.
Iliniuma sana...
Arsenal Bwana, Acha tufurahie tu ubingwa…..
Nakumbuka mwaka 2012 ilikua siku ya tarehe 28/8.
Nikiwa kidato cha tano Rungwe sekondari, Tukuyu.
Hii siku ilianza kama siku zingine za kwaida tu...
Arsenal akishinda nipewe ban ya siku 3, nimechoka kelele zao😵💫'
Aloooo hawa watu wana keleleee sanaaaaaaà, unawanaonea huruma wana miaka ya mtu mzima bila kombe ila wakishinda hatunywi maji...
Neymar ameripotiwa kuumia siku cjache kabla ya Kombe la Dunia kuanza na ataukosa michezo wa Brazil dhidi ya Morocco
Katika majumuisho ya awali, kocha Carlo Ancelotti alikuwa amemuacha staa huyo...
ROBO FAINALI ITAKUWA HIVI:
Portugal vs Netherlands
Spain vs France
England vs Germany
Belgium vs Brazil
NUSU FAINALI:
Portugal vs Spain
England vs Brazil
FAINALI:
Portugal vs Brazil
MSHINDI...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imetoa zawadi ya sh. milioni 500 kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwa kufanikiwa kutinga hatua ya...
Kumpa kijana huyu mikoba ya kufundisha Arsenal itakuwa kamari ya kijinga sana kuicheza na nachukua nafasi hii kupinga kabisa njama hizo .
Arteta aliyezaliwa 26/3/1982 hana uzoefu wa maana wala...
Nauliza tu kwa Uzuri siyo kwa ubaya. Yuko wapi yule mwanajamvi aliyesema Mikel Arteta hafai kuwa kocha wa Arsenal? Ni vizuri kuweka akiba ya maneno.
'Mungu mbariki Arteta'
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Bayern Munich Vs PSG; Leo! leo! leo! kazi ipo Ubavu chuma upande mwanaume mashine
Bayern Munich, wakiwa nyumbani katika dimba la Allianz Arena mbele ya mashabiki wao, wanawakaribisha Paris...
🚨Magori anasema Barker alisema Uza.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Crescencius Magori, amefichua siri nzito ya jinsi klabu hiyo ilivyolazimika kufanya biashara ngumu ya...
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.