Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hiki Okello anamfanyia jamaa ni nini?
0 Reactions
6 Replies
377 Views
Yanga imeendelea kuwa na moto, inautaka ubingwa "wake”, hiyo ni baada ya kuichapa Namuongo, hivyo kuendelea kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya pointi mbili dhidi ya Simba ambayo...
1 Reactions
4 Replies
611 Views
Lionel Messi, nahodha wa Inter Miami na Argentina jana aliumia kwenye mchezo wa ligi ya MLS. Messi alitolewa dakika ya 73 na kuelekea moja kwa moja kwenye vyumba vya kubadilishia nguo huku...
1 Reactions
4 Replies
248 Views
  • Featured
Real Madrid wanatarajiwa kumrejesha kocha wao wa zamani José Mourinho baada ya zaidi ya muongo mmoja. Inadaiwa kuwa “deal” hiyo imekamilika, huku ikielezwa kuwa Mourinho alikuwa na nia ya muda...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Huu ni ushauri wangu kwa timu hiyo ili iweze kusogea mbele zaidi HUTAKI UNAACHA
11 Reactions
63 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa notisi ya kisheria ya siku 60 kwa makampuni kadhaa ya michezo ya kubahatisha (betting), likitaka maelezo ya kwanini yaliorodhesha mchezo wa Ligi...
7 Reactions
18 Replies
718 Views
Ni mkondo wa pili wa Fainal ya CAF Champions League. Mechi ya kwanza iliisha kwa Mamelodi kuibuka na ushindi 1-0. Tuone leo hali itakuaje nani atabeba ndoo?
2 Reactions
122 Replies
2K Views
Tunafunga msimu kibabe sana. Kila mechi goli limefungwa, hamna droo ya 0-0 leo. COYG
2 Reactions
7 Replies
207 Views
Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves. Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza...
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Goal la Chama kwa kweli linatutesa sana. Kocha na viongozi wamekuwa wakitusisitizia kuwa lazima tulipe. Jambo ambalo katika matches 4 sasa tunajjtahidi sana. Jana Max Zingel kidogo alipe. Shida...
1 Reactions
4 Replies
263 Views
Haiingii akilini kuwa huyu golikipa wa Singida BS hajui kuwa golikipa hatakiwi kusimama nyuma ya ukuta alioupanga mwenyewe ukuta utamzuia asiuone mpira vizuri. Angesimama kushoto halafu...
3 Reactions
10 Replies
268 Views
Kama umekua ukifatilia mechi za yanga sc msimu huu wa mashindano , nadhan utakua umeona kiwango cha mchezaji Clotus Chama . Kwangu mimi naona hadi sasa Chama hana mchango mkubwa kwenye pitch ...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Bruno Fernandes has officially been named the 2025/26 EA SPORTS Premier League Player of the Season after a sensational campaign with Manchester United. The Portuguese midfielder claimed the award...
1 Reactions
8 Replies
263 Views
Mfalme wa Morocco Mohammed VI ametoa msamaha wa kifalme kwa mashabiki 18 wa soka kutoka Senegal waliokuwa wamefungwa jela kwa kufanya fujo wakati wa fainali ya AFCON. Msamaha huo umetolewa kwa...
0 Reactions
3 Replies
173 Views
Pep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez Hakuwai...
24 Reactions
176 Replies
20K Views
Simba yawakanda Coastal kwao, mechi yaisha 2-1 na kuongoza Ligi Kuu, leo Mei 21, 2026 Mechi iliyopigwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga imewafanya Simba SC Kuibuka na Ushindi baada ya kusawazisha na...
0 Reactions
8 Replies
357 Views
Hey people, Kimsingi nilianza kubet mwaka 2017,baada ya kuachana na aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza wakati huo kubet ilikuwa kama mbadala wa kuingia kwenye mahusiano mengine, kwasababu...
18 Reactions
80 Replies
2K Views
Arsenal ni sawa na JKT au TRA! Matusi hayaruhusiwi hapa
10 Reactions
38 Replies
592 Views
Timu ya soka ya Yanga imefanikiwa kufunga magoli 3-0 dhidi ya Singida Big Stars Magoli ya Yanga yalifungwa na Allan Okello (Star Boy) magoli mawili na Mudathir goli moja Kwa ushindi huo Yanga...
5 Reactions
32 Replies
832 Views
  • Redirect
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali itaendelea kufunga taa katika barabara mbalimbali nchini ili kupunguza ajali za usiku na kuendana na kasi ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom