Aaaah kubeti ni ussenger kmmk. Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000/= baada ya kuongea na boss Mad Max akaniahidi kupata kigari cha bei nafuu nikaamua nikuze mtaji kwa kuweka mechi za uhakika...
Kama umekuwa ukiangalia mechi za Japan mashindano ya Kimataifa hususan mechi ya kombe la dunia 2026 dhidi ya Uholanzi na kujiuliza ''Hivi huyu kipa mjapan mweusi ni nani?'' basi jua hauko peke...
Timu ya TAIFA ya MOROCCO Kila uchao Inaonesha mabadiliko ya Kasi kubwa SANA katika ugaa wa soka
Morocco wanatufundisha nini maana ya UWEKEZAJI katika Soka Angalia viwanja vituo vya kuibua vipaji...
Naangalia match sasa hivi. Huyu kipa wa Cape Verde ni hodari sana. Ameokoa the IMPOSSIBLES!
Nadhani ball control ni over 90% for Spain, Lakini kipa wa Verde ameokoa magoli mengi!....
Mimi siyo...
Shirikisho la Soka la Tunisia limeamua kuachana na kocha mkuu Sabri Lamouchi mara moja kufuatia kipigo walichopata dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa ufunguzi.
Mipango inaendelea ya kumteua Mondher...
Kiungo fundi bwana mdogo wa miaka 18, Ayyoub Bouaddi, amezitikisa hisia za mashabiki wa soka ulimwenguni kufuatia kiwango bora cha kipekee alichokionesha kwenye mchezo wake wa kwanza wa Kombe la...
Hii ni kauli ya kiongozi wa Simba baada ya mechi Yao
MENEJA PATRICK REYEMAMU 🚨
"Kuna namna sisi kama Simba matokeo yetu tunavyoyapata, sidhani kama kuna timu hapa nchini ingeweza kuyapata kwa...
Kwa wapenda soka wa club za hapa nchini. Kama mtakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 1990 club ya simba ilikuwa na wafadhili SHAFI BORA na AHMED BORA. Siwasikii siku hizi, WAPO WAPI??? TUJUZANE
Hatimaye Serikali kupitia king'amuzi cha star times wametangaza rasmi kuonesha fainali za mwaka huu za kombe LA dunia. Kwa wale wenye ving'amuzi vya star times na dstv tu ndio wataweza kuona mechi...
Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo.
Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA...
Matukio ya watu wa Afrika ya kusini kushambulia, kufukuza na kuua wafrika toka nchi zingine za Afrika hsyajaanza mwaka huu. Serikali ya Afrikavya kusini haijawahi kuchukua hatua madhubuti ya...
Pamba United ilikuwa timu iliyokuwa inamilikiwa na chama cha ushirika cha Nyanza Cooperative Union, ambacho kilikuwa kinajihusisha na zao la pamba tu. Timu hii ilipofufuliwa tena chini ya...
hawacheki na nyau. wakifika kwneye 18 ni mafataki tu hawa mbwa. nilikuwa namwonea huruma golie wa team yetu ya Tunisia. nikasema leo mbona kazi ipo. si kwa mawe yale waliyokuwa wkairusha langoni...
Ingawa mimi ni shabiki mkongwe wa Albiceleste, na bado naimani kubwa sana na chama langu kubeba kombe hili (Back to Back)
Lakini kwa upande wa Afrika nipo na chama langu The Atlas na mabingwa wa...
Mimi ni Mtanzania mpenda soka. Nafuatilia kwa karibu sana kombe la dunia mwaka huu, kama ilivyo,kila mtu huwa anachagua timu ya kushabikia katika mashindano haya basi hata mimi nimemchagua mkoloni...
Salaam to everyone. Hopefully everyone is having a great weekend out there.
Kama inavyojulikana kwamba kila ubaya lazima ulipwe hapa hapa duniani. Na Leo kwenye muendelezo wa mashindano ya FIFA...
Timu ya taifa ya England imepata pigo kubwa kabla ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia. Kiasi kikubwa cha vifaa vya timu kimeibwa Kansas City, Marekani, wakati vilipokuwa vinasafirishwa kutoka...
Timu ya Taifa ya Ujerumani imeanza kwa kishindo Michuano ya Kombe la Dunia 2026 kwa kupata ushindi mnono wa Magoli 7-1 katika mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi dhidi Curacao.
###########...