Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hawa miamba wamefanya ulimwengu umefurahi sana kila mmoja kwa nafasi yake kwa kile ambacho wamekionyesha kwenye mpira wa miguu. Ni asilimia ndogo sana wanaweza kuwepo kwenye kombe lijalo la dunia...
6 Reactions
27 Replies
356 Views
Ubora wa mechi unachangiwa na vitu vingi mfano; intensity ya mechi,element of suprise,Level ya ushindani na ufundi,vibe la nje ya uwanja, mvuto wa wachezaji husika, n.k kwa mtazamo wangu Hizi ni...
0 Reactions
12 Replies
239 Views
Kabla kabisa ya Kombe la Dunia kuanza kwa Kujiamini kabisa Mwamba wa Michezo JamiiForums (nikiwa nimepata Tuzo hapa Jukwaani) miaka kadhaa imepita GENTAMYCINE timu zangu ambazo nilizichagua na...
7 Reactions
11 Replies
286 Views
Pongezi nyingi sana kwenu kwa kuonesha mechi zote 104 za kombe la dunia,wapo waliokejeli kuwa hamna huo uwezo,leo mmewazina midomo.
2 Reactions
10 Replies
201 Views
Katika Kombe la Dunia 2026, maelfu ya picha zimeonyesha matukio makubwa, furaha, huzuni na kumbukumbu ambazo zimebeba hadithi za mashindano haya na kila picha ina simulizi yake.
2 Reactions
1 Replies
183 Views
Bingwa World Cup 2026 ni Hispania. Hawa madogo ni wapambanaji. Wameruhusu goli moja tu mpaka sasa. Sioni Ufaransa akitoboa. Aje Uingerea au Argentina fainali atakalishwa tu. Hayo ni maono yangu...
6 Reactions
22 Replies
583 Views
Michuano ya Kombe la Dunia inatarajiwa kufanyika kuanzia November 20 mpaka December 18 mwaka huu. Michuano ya mwaka huu ni mara ya kwanza kwa Kombe la Dunia kufanyika katika nchi ya Kiarabu lakini...
56 Reactions
32K Replies
2M Views
Ukweli ni kwamba dogo Yamal is living his best life at just 17 Nimeona siku za karibuni wachezaji wengi baada ya kubeba kombe waki-vibe with the sunglasses. Na kama sikosei dogo ndiyo...
15 Reactions
73 Replies
3K Views
  • Redirect
Kamara natoka chumba cha maudhui Kazi kwenu
7 Reactions
– Replies
– Views
Wamepata chao wamepambana nikiwa mwana Argentina nawapa hongera kina Yammine Yamal na ferran torres kwa kufunga goli.
2 Reactions
7 Replies
130 Views
Winga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo...
23 Reactions
137 Replies
19K Views
DARASA HURU 💁🏾‍♂️ Kuelekea Semi-final na ARGENTINA... Elcapitano Maestro 🗣Baadhi ya wana England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 akiwemo Tuchel 🇩🇪 wakiulizwa kuhusu Argentina kuelekea Nusu Fainali. 1. Jude Bellingham...
2 Reactions
27 Replies
645 Views
Mods msiunganishe huu Uzi hili ni muhimu. Huu sio utabiri ndo kitakachotokea. Fainali wataingia France na England ila England atabeba ubingwa wa Fifa World Cup 2026.
1 Reactions
68 Replies
1K Views
watu wengi wamejaribu kutoa tabiri zao kuhusu timu gani itabeba ubingwa wa dunia na wengi kuishia kugonga mwamba kwakuwa timu walizotabiri zimeshaondolewa kwenye michuano ya world cup Kabla...
7 Reactions
166 Replies
2K Views
Ebana Wanajamvi inakuwaje pande za huko? Poleni na majukumu, pilka pilka na mikiki mikiki ya hapa na pale ya kutafuta riziki maisha yaende. To my side really I can't complain as long as am sure...
4 Reactions
11 Replies
213 Views
Huyu ndie mwamba anaongoza kwa magoli mengi kombe la dunia mpaka Leo. Rekodi haijavunjwa Alivyoshinda alipewa bunduki kwa kuwa alikuwa mlenga shabaha Goli 13 Goat messi atayaweza haya Ngoja tuone
0 Reactions
2 Replies
115 Views
Mchezo wa kuwania nafasi ya tatu haukuwa namna ambayo kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps, alitarajia kuhitimisha kipindi chake cha mafanikio makubwa akiwa usukani mwa timu hiyo. Vivyo hivyo kwa...
2 Reactions
49 Replies
1K Views
Sidhani kuna mtu mwenye akili na ufahamu atathubutu kuishabikia timu ya taifa mpira Argentina. Na kama watakuwepo wanahitaji msaada na walaaniwe. Wanavyomtukana na kumdhihaki Lamine Yamal wetu...
2 Reactions
23 Replies
297 Views
Sasa hapa tutajua nani anajua kutabili football Leo ni fainali kombe la dunia we unadhani nani atachukua ubingwa..? Ndio mechi mpaka ichezwe ndo utajua mshindi"- ni nani lakini kuna timu...
2 Reactions
6 Replies
95 Views
Hao watu huaga ni wabishi sana na wanaweza atakukupiga pia ndio wale CCM wajuaji
1 Reactions
6 Replies
82 Views
Back
Top Bottom