Tunakosea wapi katika soka?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Joster Mwangulumbi katika gazeti la MwanaHALISI la Juni 22-28, 2011 anauliza swali hilo.
Kajitahidi sana kutoa mifano ya huko nyuma tulipokuwa tunafanya vizuri mno lakini sasa tunazidi kudidimia. Kwa mtazamo wangu ni kuwa SIASA ndo inasababisha hali hii. Angalia katika vilabu na vyama vya michezo viongozi wake wa juu wapo pale kwa kisiasa zaidi ama lengo lake ni kuwa mbunge, diwani n.k.
Sasa CECAFA limeifanya Tanganyika (Tanzania bara) shamba la bibi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom