Mdogo wa mariga akaribia kusajiliwa celtic | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdogo wa mariga akaribia kusajiliwa celtic

Discussion in 'Sports' started by Dj Khalid, Jun 23, 2011.

 1. Dj Khalid

  Dj Khalid Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  [​IMG]

  Wakala wa kiungo raia wa Kenya Victor Wanyama amethibitisha kuwa klabu ya Celtic ya Uskochi wamekubali kumsajili mchezaji huyo.
  Wanyama ambaye ni mdogo wake kiungo wa Inter Milan MacDonald Mariga amekuwa akizivutiwa klabu kadhaa za ulaya, lakini Celtic wanasemekana kuwa karibu na kukamilisha usajili wa mchezaji huyo.
  Wanyama mwenye umri miaka 19 kwa sasa anacheza katika klabu ya Ubelgiji Germinal Beerschot, amekuwa akizivutia klabu nyingi kutokana na uwezo mzuri aliouonyesha katika klabu yake. na sasa wakala Ivan Modia amethibitisha kuwa mchezaji huyo anataka kuhamia Scotland.
  Wanyama amecheza michezo 11 katika timu ya taifa, na sasa ameshajitengenezea nafasi ya kudumu ndani ya kikosi cha klabu yake, akicheza michezo 30 na akifunga magoli mawili.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Anacheza nafasi gani maana idadi ya magoli imenitisha...
   
 3. Dj Khalid

  Dj Khalid Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  anachezea nafasi ya kiungo
   
Loading...