matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,225
- 3,944
Hawa wakikuyu wanachana sana,alafu wana zile digital swagg...kama kuna mkenya yoyote au ata mTz anaewanyaka vizuri hawa jamaa atuwekee hapa tuwajue vizuri..wanafanyia muziki wao ndani au nje ya kenya?video zao wana shoot na kampuni za kenya au mtoni?mafanikio yao tangu waanze kufanya muziki ni yapi?
Na menginemengine...leggggoooo!!
Na menginemengine...leggggoooo!!