grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Ni miezi mingi sasa imepita toka Rufaa ya Klabu ya Yanga kuwasilishwa kwenye Kamati ya Rufaa ya TFF, kitu cha kushangaza hatma ya wachezaji waliopewa adhabu kwa kosa la kumpiga mwamuzi I. Nkongo mpaka sasa haielweki. Vipi inasubiri nini, au limeshafukiwa ili mwanaharamu apite?