Spain chama kubwa

Data na Biti

Member
Apr 4, 2011
40
13
Mashabiki wenzangu tuchangieni ni timu gani kwa sasa unaona inaweza kuifunga spain....kwa mimi bado sijaiona...:juggle:
 
Mpaka miaka 12, iishe. Niliwaambia jana, Balotel hana uwezo wa kufunga mech 2, mfululizo wakabisha. Man city huwa namwona. Ana uwezo wa kila cku kutoa kioja mtaan tu
 
Mpaka sasa hakutokezea wa kuishinda Spain kirahisi.
Sifa ya kikosi cha Spain kwa sasa ni kuwa wana kikosi imara. Mmeona mara hii kuna wachezaji wazuri walikaa benchi hadi siku ya mwisho. Kila aliyetolewa kwa kupumzishwa, aliyeingia alikuwa moto wa kuota mbali. Angalia perfomance za Cesc, Tores, Navas, Pedro, Mata ambao wote hawa walikuwa benchi kwenye mechi fulani, lakini walipoingia wakatingisha nyavu.

Tusubiri kule Brazil 2014 tuone kama ile yao ya EURO2008+WORLD2010+EURO2012 lilikuwa zali tu.
 
Mpaka miaka 12, iishe. Niliwaambia jana, Balotel hana uwezo wa kufunga mech 2, mfululizo wakabisha. Man city huwa namwona. Ana uwezo wa kila cku kutoa kioja mtaan tu
Hahaha, nimependa hii. Ina maana ikiwa kwa muda wa miaka minne (2008-2012) wametwaa mataji matatu, kwa miaka 12 watatwaa mataji tisa. Itabidi tuwape juju!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom