Andre Villas-Boas : Kocha Mpya wa Tottenham Spurs

Andre Villas-Boas : Kocha Mpya wa Tottenham Spurs

Observer

JF Member
Joined
Oct 18, 2006
Posts
195
Reaction score
378
Tottenham Hotspurs confirm AVB has been appointed club's head coach
 
Hata wangemchukua Mancini hawataizuia L'poolFC kuchukua ubigwa msimu ujao.
 
Hata wangemchukua Mancini hawataizuia L'poolFC kuchukua ubigwa msimu ujao.

Lol umeshaanza kuogopa baada ya tottenham kumchukua AVB. Halafu liverpool mtachukua kombe gani unalolizungumzia? . Nyie nafasi yenu inajulikana
 
wamechemsha kumtoa Harry Redknap, huyu AVB na yeye ni dhaifu tu
 
ngoja ajaribu bahati yake:
bila shaka hawezi kufanya makosa tena

Anaweza kufanya vizuri ,timu anayokwenda kuna wachezaji wazuri na ametengewa hela nzuri ya kufanya usajili
 
Lol umeshaanza kuogopa baada ya tottenham kumchukua AVB. Halafu liverpool mtachukua kombe gani unalolizungumzia? . Nyie nafasi yenu inajulikana

Tutachukua msimu huu ujao kombe la leage & hata FA CUP bila ya kukosea!

Wewe umejikitita anga ipi mshikaji wangu?
Angalia usije ukawa Arsenal.(Presha tupu)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom