Kweli Macio Maxicimo unanifurahisha sana!!unarudi kuifundisha Yanga???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli Macio Maxicimo unanifurahisha sana!!unarudi kuifundisha Yanga????

Discussion in 'Sports' started by KakaKiiza, Jun 11, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Nasema kocha Macio Maxicimo unanifurahisha sana yani kumbe hata uwezo wako ulikuwa wachini??kwenu nikocha waligi daraja la pili??!!Ukaja hapa ukawa kocha wa timu ya Taifa la Tanzania ukilipwa Mshahara wa Milioni 30,Gari,nyumba na marupurupu kedekede!!Ina maana Tanzania haina washahuri wa soka?
  Leo hii unalilia kuifundisha YANGA!! Na hii migogoro ya vilabu unaijua fika na wewe umekubali?ama kweli Njaa haina Bouncer !!
  Kesho tutakukuta kwenye kombe la kinesi............kila laheri Macio Maxicimo.....
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Mdomo huo KakaKiiza...angalia mdomo huo,lol!!! Eti njaa haina bouncer, na huyu jamaa mpaka alikuwa bongo movies star kama Kanumba.
   
 3. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Binafsi simkubali aje timu yangu..ni kocha mbishi na asiyejua kusamehe
   
 4. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  hakuna cha ajabu. Kwa taarifa yako....Diego maradona alikuwa kocha wa argentina sasa ni kocha wa club ndogo tu huko mashariki ya kati. Sven Goram erickson aliyekuwa kocha wa england bado anahangaika kweye vilabu na timu za taifa zenye hadhi ya chini kuliko england. List ni ndefu ....yule Mbrazili aliyekuwa kocha wa Ureno, baadae Chelsea na kuishia kuifundisha Timu ndogo ya huko eastern europe. Si kila wakati ni sikukuu.
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Mimi nimeuziba maana kunawatu wanashuka na data kwa jaziba!!!

  Hajui ni ujanja na anafanya hivyo ili msimuingie na kumtambua ujanjajanja wake!!

  Sasa kutoka Rio de janiro hadi jangwani huoni kama ni bonge la gepu!!!maana katoka bara hadi bara utadhani mfanya biashara ya watumwa!!
   
 6. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  Bado na respect sana maximo hata angekua kufundisha timu za mchangani, katika miaka ambayo mie nikua ckuwahi kuijua Taifa stars wala kushangilia mpaka alipokuja maximo alipoondoka siijui tena stars nasidhani kama still ipo, kila mtu apewe what he/she deserves hivi mlitaka maximo awe anaingia na yeye kucheza au? michezaji imekomaa, bangi na ngono bado mnataka timu iende wapi? haya sasa aliondoka ipo wapi stars?

  nani angemjua ngasa bila maximo? jeryy tegete je? acheni uanfiki tuwape ninyi timu na watanzania wenzeni wale wakinananii tuone mtaifikisha wapi...watanzania bwana...ukila dagaa kaishiwa, ukila nyama anatutishia,,,,,dah
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Sasa Yanga ndo wasikovuta Bange na ngono??sema Njaa njaa njaa mbaya hukufanya mishipa ya aibu ife ganzi!!
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ujio wa huyu jamaa unawa presure watu wa simba.ha,ha,ha,ha......njoo maximo wewe ndio uliinua mpira wa bongo
   
 9. M

  Masuke JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Wewe nawe utakuwa na matatizo yako tu binafsi kama ni kweli ulikuwa huijui timu ya Taifa na Maximo kakufanya uijue halafu alivyoondoka huijui tena.
   
 10. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,106
  Likes Received: 1,494
  Trophy Points: 280
  mkataba wake ulipokuwa unaisha alitamba oh nimepata ofa toka nchi mbali mbali kumbe hamna kitu kocha wa level yake hawezi kuja kufundisha timu ambazo hazina viwanja,pesa benki tatizo siyo Yanga bali Maximo ametuonyesha kumbe siyo kocha mkubwa kama tulivyoaminishwa
   
 11. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Achana naye inawezekana yeye hata Makocha wa nje hawafatilii
   
 12. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Tanzania ilikuwa haifahamiki kbs yeye ndiye akaja akaifufua ktk Soka.
   
 13. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  wamesahau kbs kama yeye ndo ametuinua.
   
 14. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Mwanzisha Thread kama kweli unafuatilia Soka,nakuomba uniambie Maximo aliitoa Tanzania Nafasi ya ngapi ktk Rank za Fifa na akaondoka ameiacha Nafasi ya ngapi?
  Usikurupuke kwa kuwa wewe ni Simba.
   
 15. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nina bahati mbaya kuwa mambo ya Yanga na Simba siyajui, ila ningefurahi zaidi kama ningesikia kuwa anarudi huko bongo kuifundisha Stars.
   
 16. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tenaa vinyesi vyao wote wanaomtukana Maximo!
   
 17. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Rage amekutuma eeh? Huna lolote, Simba Koko wewe unahofia usalama wako. Marcio Maximo sio saizi ya wewe kwenda kufundisha.

  Sijui kwa nini Wabongo tunapenda NEGATIVES. Kwa nini usione ni heshima kwa Yanga kufundishwa na Marcio Maximo badala yake unaona ni fedheha kwa Maximo kufundisha Yanga?

  Halafu wewe m'mbea. Mambo ya mshahara wake na marupurupu aliyolipwa wewe vinakuhusu nini? Kwani huyu wa sasa na waliokuwepo kabla ya Maximo hawakuwa wanalipwa mashahara? Halafu acha uzushi, Milioni 30 ulikuwa unazitoa wewe?
   
 18. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  THIS IS WHAT SO CALLED "CHUKI BINAFSI"

  Márcio MáximoMárcio Máximo Barcellos (born April 29, 1962 in Rio de Janeiro) is a Brazilian football manager.

  Máximo was a member of Brazil's under-17 and under-20 sides coach staff from 1992 until 1993. The teams included the future stars like Ronaldo and Ronaldinho. He had been working as technical director to the Grand Cayman Islands for three-years when he rejected the offer of a ten-year extension and instead joined Scottish club Livingston Football Club on 5 June 2003. Máximo signed a one-year deal as head coach and became the first Brazilian to manage a British club. However, things did not work out and after nine games (3 wins, 3 draws and 3 defeats) he resigned on 14 October.[SUP]
  [/SUP]
  On 29 June 2006, Máximo was appointed head coach of the Tanzania national side Maximo helped Tanzania to qualify for CAN finals for home players. These finals shall take place in Ivory Coast from February 22 to March 8th, 2009. Tanzania qualified after beating Sudan 5-2 goal aggregate.
  Máximo extended his contract with the Tanzania Football Federation (TFF) for another year until July 2010, but at that time he was replaced by Danish coach Jan Børge Poulsen.
   
 19. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Msikie huyu umetoka wapi unakurupuka??wewe unadhani hizo milioni 30 alikuwa analipa nani??ujui hata ninani alikuwa analipa!!Sasa yanga mtamlipa hizo??au kalegeza mashariti!!Ngoja tusubiri bakora jangwani yani Kufundisha yanga aseme kiwango kipo kwake sawa na ligi ya mchangani!
   
 20. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Mkuu hizo sehemu nimekuwekea green ndo kigezo kuwa hana tija hata tanzania alikuja kula mijipesa ya wajinga!!Na mwisho nikwamba hakukidhi vigezo watanzania wakamkataa siyo alikuja kuwa-replaced bali uwezo wake ulifikia mwisho!!
   
Loading...