Big Brother Africa. Alivyosema Prezzo ni ukweli. Mwanamke wa miaka 34, bila career, mtoto au family | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Big Brother Africa. Alivyosema Prezzo ni ukweli. Mwanamke wa miaka 34, bila career, mtoto au family

Discussion in 'Sports' started by lwangam, May 18, 2012.

?

Is it true in Africa today?

Poll closed Jun 7, 2012.
 1. Si Ukweli

  45.5%
 2. Ni Ukweli

  27.3%
 3. Sijui

  27.3%
 1. l

  lwangam Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,170
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Lakini kweli. Msichana over 30 hujaolewa? Some ting wrong wit you!
   
 3. m

  mhondo JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Usihukumu usije ukahukumiwa.
   
 4. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 973
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  inawezekana.
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kuolewa ni lazima?
   
 6. by default

  by default JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kuolewa si lazima ila inaongeza heshima.kuna tofauti ya miss na mrs.MUNGU alimwambia mwanaume utakula kwa jasho mwanamke atazaa kwa uchungu na kizazi chako kitamponda nyoka kichwa.so ujue utakwenda ulizwa kama ulikuja ku buy time dunian utajaza mwenyewe.ila sio fresh mwanamke kuzeekea kwa wazazi wako ila ndo faida ya HAKI SAWA.
   
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  Hajahukumu.
  Kauliza...
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Badili tabia inaongeza heshima ... kuliko kuzaa kama kuku
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kuolewa si lazima kabisa.
   
 10. The Eagle2012

  The Eagle2012 Senior Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Effects Of Melancholy!!
   
 11. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  dah mi am 24 nw ikifka 27 sina mwelekeo nitachanganyikiwa, mungu nisaidie.
   
 12. I-NGOSHA

  I-NGOSHA JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 239
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Jiwekee mkakati wa kumpata mwenye mwelekeo wa kuhitaji kuwa na familia, usiwekeze kwenye kula good time!!
   
 13. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Vipi uolewe alafu ukaishi maisha ya tabu,ikiwemo na manyanyaso. Kuolewa ni suala ambalo linahitaji uamuzi makini sana.
  Wanawake muwe makini!
  Wewe kama mwanadamu unapaswa kuishi kwa UFAHAMU NA SIO MAZOEA
   
 14. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Amesemaje sie wengine hatuna diestivi.....

  utubu nayo haifunguki :rolleyez:
   
Loading...