Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa wataalamu wa maandishi, hizo saini zinafanana....kutofautiana kidogo tu hivyo ni tatizo la kawaida kabisa kwenye utiaji saini..hata wewe mwenyewe mara nyingi huwa unapata tatizo kama hilo...kuhusu thumb print, hilo hadi mashine ndo itagundua, wewe huwezi gundua,...cha muhimu mistari ionekane inafanana, kwasababu huwa hakuna kufanana katika hilo, hata kama hapo inaonekana kama tofauti, kwenye machine itaenda moja kwa moja kugundua...sijaona tatizo lako liko wapi hapa.

Apendae chongo huita kengeza!!
Form za yanga ndio ziko sahihi!View attachment 55771
Saini ya Yondani na dole gumba kwenye fomu za Yanga.
View attachment 55772
Saini ya Yondani na dole gumba kwenye fomu za Simba.
hiyo ya yanga ndiyo yake. hao wengine waseme wameitoa wapi.
hiyo ya yanga ndiyo yake. hao wengine waseme wameitoa wapi.
Form za yanga ndio ziko sahihi!
View attachment 55771
Saini ya Yondani na dole gumba kwenye fomu za Yanga.
View attachment 55772
Saini ya Yondani na dole gumba kwenye fomu za Simba.
Form za yanga ndio ziko sahihi!
Waacheni wafu wazike wafu wao. Mi yako Mecco na Tukuyu Stars
Aje mara ngapi?mbona kishapewa chumba pale pentagon na leo asubuhi nimemkuta demu wake anamfanyia usafi.Wee angalia hata handwriting yake kwenye Form zote 2 ndo utajua kuna uhalali wa sahihi kutofautiana katika Form hizo,mwacheni aje Jangwani na Twiga anufaike na mipango endelevu ya uongozi mpya wa Yanga,kwanza tutampeleka QT(Elimu ya O-Level kwa miaka mi'2) kwahiyo hata akitaka ku'sign team 2 tena baada ya huu mkataba wake kumalizika Signatures zake hazitatofautiana tena kwani atakuwa ameshajua kuumba herufi vizuri.
Sisi watu wa Simba tulishaweka wazi kwamba hatumng'ang'ania Kelvin lakini tunachotaka lazima taratibu zifuatwe, walishaondoka wachezaji wa muhimu kabisa tena kati kati ya msimu lakini badi Simba haikutetereka, na si kawaida ya Simba kubania wachezaji tulishamruhusu Mrwanda, Boban na Henry Joseph na hawa ilikuwa wakati wa ligi.
Inajulikana Yanga mnapenda sana kutofuata taratibu, tukianza na Mwameja mlimsajili bila utaratibu lakini alibaki Simba, mkasajili Victor bila utaratibu wote tunajua alibaki Simba, mkaja kwa Chuji alikaa muda mrefu bila kucheza sasa mmefanya tena kwa Yondani, ngoja tusubiri tuone mambo yataendaje.