Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars Jamhuri Kiwelu (Julio) ameikimbia timu hiyo jana jioni na kuelekea Uarabuni. Kocha huyo ameikimbia timu hiyo baada ya kufanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
huo ndo ukweli hii timu siipendi hata kama nimezaliwa mtanzania
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yes...na Chelsea wamethibitisha kwa vitendo maneno yaliyosemwa na King Kenny wiki chache kabla ya the Cops kucheza na Sheikh Mansour Toys(courtesy Napoli President)..... Final Score: Chelsea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Man city wapata bao la kwanza.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nimejiuliza huyu bwana anatumia uchawi ama lah nikajaribu kuona huko nyuma amekuwa akibwabwaja kwenye redio apewe kazi na kweli viongozi wa tff wanampa anaaribu anaishia kwenye matangazo ya redio...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
1min: Real Madrid 1 - 0 Barcelona limefungwa na Benzema. 30min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona (Alexis Sánchez's equalizer) 42min: Real Madrid 1 - 1 Barcelona HT: Real Madrid 1 - 1 Barcelona...
3 Reactions
86 Replies
7K Views
Wadau mnaionaje timu teule ya akina Julio na Mkwasa?Itatupatia kombe la Challenge?
0 Reactions
44 Replies
4K Views
mashabiki wa barcelona ni mamluki waliohama chelsea na arsenal hawana jipya!!!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wana jamvi tuhabalishane kinacho endelea kwenye uwanja wa taifa kati ya miamba wa Africa baada ya Yanga (Yebo yebo) kuingia mitini... je simba atapigwa za Real Madrid Mashabiki wa simba...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ile mechi ya muonganiko wa timu mbili kati ya yanga na simba ambo ungecheza na asante kotoko kama maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa tanganyika umeingiliwa na Bundi. yanga wamegoma kuwapleka...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
d
maskn mourinho,mambo yameanz kuwa magmu ,ngja 2one km atafankiwa mble ya barca ya messi,xavi,iniesta,villa,pedro,na guadiora mwnyewe.o
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Sijawahi kuona Taifa Stars kucheza mechi ambayo naweza nikasema "Aisee Taifa Stars leo wamecheza mpira wa kisasa sijapata kuona au mechi ya kisasa na ya kufurahisha kama walivyocheza Uganda na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
It's that time of year again. La Liga's first Clasico of the season invariably arrives in the lead-up to Christmas, and 2011-12 has paired Spain's big two together this Saturday in a game which is...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
  • Closed
wanajf wapi naweza ku-livestream mech ya madrid na barca?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, kama mnavyojuwa mechi hii inapigwa naiti kali ya leo, Naomba msaada mwenye kujuwa live stream inayoonyesha hiyo mechi tusaidiane ili niitafute kwa mtandao.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzania 0 Sudan 1 (second half) Mpira bado unaendelea, nadhani safari hii tutashika nafasi ya 4
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Timu ya taifa ya rwanda inatarajia kuchukua ubingwa wa cecafa muda mfupi ujao kwa niaba ya watanzania tunawatakia mchezo mwema na ushindimunono
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mpira unaendelea mpaka sasa ni bila bila, tuendelee kujuzana kinachoendelea japo timu yetu haikufanikiwa kuingia fainali. Dakika 90 za kwanza zimeisha matokeo yakiwa: Rwanda 2 - 2 Uganda Mpaka...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Mashindano yanayoendelea ya cecafa timu zote kwenye jezi zao zimeandikwa majina ya nchi. Amavumbi (Rwanda), Harambe stars (Kenya), The Flames (Malawi), Intamba mrugamba (Burundi), Zanzibar heros...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watu wamepania kuwazomea wabunge kwa kujipandishia posho kwa kiwango kikubwa! Pia wawakilishi watazomewa kwa kuvaa jezi za udhamini wa pombe huku wakivizuia vilabu vyao Zanzibar kudhaminiwa na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom