Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Timu ya vijana chini ya miaka 20 leo jioni imetufurahisha watanzania kwa kuibajua Sudan magoli 3 kwa 1.Keep up vijana natunaomba dua muweze kulinda ushindi huu kwenye mechi ya ugenini
0 Reactions
1 Replies
871 Views
magoli ya madrid uamefungwa na sami khedira na christino Ronaldo wakati la baka akifunga sanchez, madrid wako kileleni kwa jumla ya point 88 tofauti ya point 7 na barca
0 Reactions
0 Replies
861 Views
kocha Mou ameweza kumbamiza pep guadiola 2-1 katika awanja wa camp nou, christiano Ronaldo akitupia Wavu wa pili kwa goli safi la mguu wa kulia,na kutanua wigo wa point toka 4 MPAKA 7.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo Arsenal HAFUNGWI, Madrid INASHINDA, Ronaldo atakuwa MAN OF THE MATCH, mechi ya ARSENAL na CHELSEA kuna uwezekano wa RVP kutengeneza rekodi nyingine leo! Barca na Madrid je hii ni mechi yao ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
hatimeya mashabiki wote wa barcleno wameruo.c o kila cku mshangilie nyie.pumbavu zenu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu, wadau, natamani sana siku moja kuwe na mechi ya mastaa wa La Liga na wenzao wa UK Premier League. Kwanza mechi iwe mwisho wa msimu, pili iongozwe na makocha waliochukua makombe pande zote...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
tunafahamu kuwa timu itakayoshika nafasi ya kwanza ktk hatua ya Makundi ya UEFA champions league basi tunapoingia ktk raundi ya pili anatakiwa aanzie ugenini kisha anakuja kumalizia nyumbani...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Yanga kulikoni au sio washindani tena?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simba ilisogea jirani zaidi na ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania 2012 kwa ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana, huku watetezi Yanga wakilitema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jose Mourinho: "I don't see Chelsea in the final it might be Real Madrid v Barcelona or Bayern v Barcelona but i don't see Chelsea going through to the final."
0 Reactions
12 Replies
2K Views
C. Ronaldo of Real Madrid
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo naona vijana wa darajani mtabugia mengi kwelikweli coz mnautafuta mpira kwa tochi, KAZI MNAYO
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Yaliyomtokea ronadinho na rijkard ya elekea kumkuta messi na kocha wake. STARTIMES WANAONESHA KUPITIA KITUO GANI?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Startimes wanaonesha kupitia kituo gani? TABIRI NANI MSHINDI LEO KATI YA CHELSEA NA BARCELONA.
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Timu ya Yanga imeendelea kuboronga kwenye ligi kuu baada ya leo kukubali kulala kwa goli moja mbele ya Kagera Sugar.Pia ndani ya uongozi wa Yanga kumeibuka sintofaham kutokana na vipigo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mpira una endalea Simba 1 na JKT Ruvu 0... ======== Simba 3 na JKT Ruvu 0 Kagera Sugar 1 na Yanga 0 Coatal 1 na Polisi 0 Toto 2 na African Lyno 0
1 Reactions
97 Replies
8K Views
TETESI: Alfred Tibaigana afuta matokeo ya Toto African v/s Young African. Mechi kurudiwa, any clear information?
0 Reactions
23 Replies
4K Views
kwa tetesi nilizozipata hivi punde,ile rufaa ya yanga ya kupinga kupokwa point3 imepigwa chini leo na kamati ya rufaa ya tff chini ya kamanda Tibaigana,ikiwa na maana kwamba yale maamuzi ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hayo yalitokea wiki hii pale mtangazaji wa clouds,aka Simba tv alipojipendekeza kwenye kikao cha waandishi wa habari kwenye jengo la klabu ya YANGA.....very nice nawapongeza wanachama wa Yanga kwa...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
A professional at 11 Barcelona sign 11-year-old
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…