Ngorongoro ya ichapa Sudan U-20 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngorongoro ya ichapa Sudan U-20

Discussion in 'Sports' started by bemg, Apr 21, 2012.

 1. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Timu ya vijana chini ya miaka 20 leo jioni imetufurahisha watanzania kwa kuibajua Sudan magoli 3 kwa 1.Keep up vijana natunaomba dua muweze kulinda ushindi huu kwenye mechi ya ugenini
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  This is some gud news! Kama hao madogo wanaweza si tuwatie timu ya wakubwa tuwafunde taratibu
   
Loading...