Leo Arsenal HAFUNGWI, Madrid INASHINDA, Ronaldo atakuwa MAN OF THE MATCH

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
[h=6]Leo Arsenal HAFUNGWI, Madrid INASHINDA, Ronaldo atakuwa MAN OF THE MATCH, mechi ya ARSENAL na CHELSEA kuna uwezekano wa RVP kutengeneza rekodi nyingine leo! Barca na Madrid je hii ni mechi yao ya mwisho kwa msimu huu au pre meeting ya UEFA CHAMPIONSHIP CUP? Ngoja tusubiri[/h]
 
Leo Arsenal HAFUNGWI, Madrid INASHINDA, Ronaldo atakuwa MAN OF THE MATCH, mechi ya ARSENAL na CHELSEA kuna uwezekano wa RVP kutengeneza rekodi nyingine leo! Barca na Madrid je hii ni mechi yao ya mwisho kwa msimu huu au pre meeting ya UEFA CHAMPIONSHIP CUP? Ngoja tusubiri


kwa arsenal sidhani ila madrid i hope leo watafanya kweli
 
Kama wewe ni mtabiri weka bango uwe kama marehemu shekhe yahaya
naoana unajitahidi
 
kweli kuna msukumo unaonihakikishia Morinho anashinda,jinsi time inavyokaribia uhakika unaongezeka sijui kwa nini lkn Real anampiga Barce leo na Ronaldo ni ma of the match
 
kweli kuna msukumo unaonihakikishia Morinho anashinda,jinsi time inavyokaribia uhakika unaongezeka sijui kwa nini lkn Real anampiga Barce leo na Ronaldo ni ma of the match

uko sahihi mkuu
 
leo kazi ipo bt chelsea vs arsenal n dro.real lazima ipate ushindi na man of the game atakuwa ronaldo.real itapata goli 2 bila?
 
kwa arsenal sidhani ila madrid i hope leo watafanya kweli
Mechi za Barca-R.Madrid hazitabiriki, lakini kama tukiangalia historia yao ya karibuni, tangu Mou kujiunga na Real, ameshapambana na Gardiola mara 10, na ameshinda moja tu. Kwa hivyo uwezekano ni kwa ama Barca kuendeleza ubabe na kushinda (nitaumia kwani mimi ni mpenzi wa Real) au kutoka sare. Real ikishinda itakuwa imekataa kugeuzwa kichwa cha mwendawazimu.

Lakini pia Real inaweza kushinda kwani katika historia yote ya kupambana mafahali hawa tangu mwaka 1902, katika michezo yote 219, kila timu imeshinda mechi 86 na wametoka sare mara 46. Kwa hivyo mshindi wa leo, ataondoka na ushindi mara 87.

Pamoja na usawa wa mechi za ushindi, pia wafungaji wao bora (pichichi), Messi na CR7, kila mmoja ana magoli 41, ingawaje Messi ana magoli mengi zaidi (63) katika mashindano yote, wakati CR7 ana magoli 53.

Filimbi ya mwisho ndio mwamuzi. Mkutano saa 3 usiku. Ikiwa kuna mtu anayo link yoyote ya kuuona mtandaoni atuwekee mapema.

"ALAAAAAAA MADRIIIIID"
 
utabiri wako unakaribia na kweli mpaka sasa dk ya 75 utabiri wako uko sahihi
 
kweli bayern kawafundisha mpira wa mbio maana leo madrid hawajachoka kabisa tofauti na gemu zilizopita..
xavi kamaindi kocha anakazi fabrigas kaenda na gundu hawapati kitu msimu huu maana watu wameubikiri uwanja huo ndio basi tena..
 
Back
Top Bottom