Timu bora ya dunia imefungwa na chelsea na madrid wakiwa wote kumi na moja kwa kumi na moja. wameitoa AC milan kwa kubebwa bila aibu.Kila wakiwafunga wenzao utakuta wamebebwa. leo hakukuwa na red card wala nini! Mimi nawaapia Ukikuta mtu anashangilia Barcelona na Manchester utd lazima maishani mwake ni dhulumati mkubwa! Morinho hongera sana kwa kutwaa ubingwa mapemaa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.