Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mkataba wa uzamini wa ligi kuu kati ya tff na vodacom unakataza timu nyingine kuzaminiwa na kampuni nyingine ya simu ..na kwa upande mwingine fedha zenyewe za udhamini kwa timu ni kama hakuna...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu akionesha jezi walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa jeusi. (Picha na Habri Mseto Blog) Kaimu Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo mechi ni nzuri tutakuwa uwanjani masaa machache toka sasa tukishuhudia pambano jepesi kwa Yanga,ikishinda leo basi ubingwa jangwani mana lazima mnyama Simba apakatwe pale ccm-kirumba na...
0 Reactions
123 Replies
14K Views
Ndugu wapenzi wa Arsenal poleni kwa kichapo cha bao 1-0 sasa jitihada za champions league zimeanza kuwa ngumu!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapenzi wa Manu U habari ndio hiyo.....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CONTEST: VODACOM PREMIER LEAGUE VENUE: CCM MKWAKWANI, TANGA KICK OFF: 1600 EAT Comments: Stay in touch for live updates ================== ================== FT: CUSC 3 - 1 Mtibwa
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wana jf tujadili hili mana litaua soka kama kweli lipo,baada ya yanga kutofanya vizuri kwenye mechi zake kuna siku hasa baada yanga kufungwa na kagera nilimskia kiongozi wa yanga akiwalaumu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Lile sakata lililokuwa linawakera wapenda soka katika jiji la DSM la kamati ya Uchaguzi ya mkoa wa DSM iliyokuwa inaongozwa na Muhdin Ndolanga kulazimisha na kumbeba Amin Bakhresa bila kuzingatia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ANGUKO LA UCHUMI UGIRIKI LASABABISHA KLABU KUDHAMINIWA NA DANGURO - WACHEZAJI WAAHIDIWA MADEMU WAKISHINDA MECHII Kama ilivyo kwa vitu vingi vingine nchini Ugiriki, klabu za soka nazo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waambiwa wachague nembo ya kudumu kati ya. Njano,kijani na nyeusi. Wasema walikua hawajui kama rangi hizo ni utambulisho wa mwafrica na africa. 1.Kijani-sura ya africa. 2.Njano-Madini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Thursday, 18 October 2012 Written By Ismael Kiyonga in Share Share Following his desire to switch nationality, Ugandan born Kenyan based striker Daniel 'Mzee' Sserukuma has recieved...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
mkuu Gang Chomba umeiona hii
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga imekuwa na malumbano na TFF kuhusiana na nembo ya wadhamini wa ligi kuu ya Vodacom, issue ni doa jekundu katika jezi ambazo wadhamini hao wanazotoa kwa vilabu vyote vinavyoshiriki...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kile kisiwa kidogo chenye watu laki tano tuu Cape Verde kimefanikiwa kuingia kwenye fainali za Kombe la Afrika (Africa Cup of Nations) baada ya kucharagaza Cameron na akina Eto'o. Cameroon...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Tupo uwanja wa taifa live tunangalia mechi nimekaa jukwaa la simba mpaka sasa simba 1 kagera 0,ila kagera kidogo wamebadilika wanashambulia vizuri,tutaendelea kufamishana ila naskia star tv wako live
0 Reactions
143 Replies
12K Views
PICHA ZA MCHEZO WA TOTO NA YANGA ULIOCHEZWA JUMATANO YA TRH 10 OCT 2012 CCM KIRUMBA MWANZA
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Watu wenye umri mkubwa wa kuzaliwa wa timu ya Yanga jana walitoa kauli ati hawakotayari kuvaa jezi za mdhamini kwa sababu jezi hizo zina mkono wa Simba. Hawa ni mbumbumbu wa mikataba, lazima...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wengi tunajiuliza TFF kwa nini HAICHUKULII hatua klabu ya Yanga kwa kuvunja kipengere rahisi mno cha mkataba wa mdhamini wa ligi cha timu kutokuvaa LOGO ya mdhamini hatua zipi zichukuliwe...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Title ipo kwa kingereza kuonyesha msisitizo zaidi... Pass ya kupenyezewa,move ya Bahanuzi ambayo iliuliwa kwa kuamuliwa kama offside na Refa pamoja na msaidizi wake, shame on them!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
samahani wadau sijawahi kuingia uwanja wa taifa kuangalia mechi ila leo nataka kwenda kuangalia mechi ya simba nimeomba ruhusa kazini,sasa wapi tiketi zinauzwa? au pale nje ya uwanja
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…