Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wadau wa michezo jana ilikuwa ni siku ya kugawa tuzo za wanamichezo bora wa mwaka..katika mpira wa miguu nimesikia AMRI KIEMBA wa simba amekukuwa mwanasoka bora wa mwaka kwa upande wa mpira wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SAFC stars of the future could hail from Tanzania, thanks to a ground-breaking new partnership. The club is lending its expertise to the East African nation, with the creation of a football...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Through mahojiano ktk Star T, Diamond kaahidi kumfunika Prezzo Tamasha la Matumaini 2013. All right, it's ur time kid. Go.
1 Reactions
8 Replies
8K Views
LUISA lberto mchezaji wa barca B amesajiliwa na Liverpool. Je, watacheza pamoja na LUIS ALBERTO SUAREZ anayeitajka na club nyingi Ulaya?
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Mabingwa watetezi Manchester United wataanza kutetea taji lao ugenini kwa kuifuata Swansea City ikiwa ni mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu chini ya kocha mpya David Moyes huku Manuel Pellegrini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkali wa wakati wote wa upigaji wa "banana chop" mipira iliyokufa David Beckham kuanzia tarehe 20.06.2013 yuko China kwa tour ya siku 7 kupromote ligi kuu ya China.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale wapenda NBA najua wengi mtakuwa mliangalia game la Miami Hits vs. San Antonio Spurs. Momambo yalikuwa hivi. Miami 95-87 San Antonio baada ya kwenda sare ya michezo 3-3 katika mechi sita za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Licha ya kupigiwa debe ndoto za mkongwe Gaucho kucheza Maracana, Brazil 2014 zayeyuka kama za Taifa Stars! Ronaldinho's RenaissancePosted by Sam Kelly A video of a superb moment of footballing...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Miami Heat got a 2nd straight NBA title by defeating San Antonio Spurs,is this a start of new ear,we will go and see. LEBRON SAID HE AINT GAT NO WORRIES ABOUT WHAT PPLZ SAY.
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Hallow Viewers !! Watch live streaming online free just here & U on right place now just in this site.Welcome to join the sports Uruguay vs Nigeria live stream free watch online TV 2013.Watch live...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapenda michezo, Mchezo wa juzi DRFA imeingiza 12m bila jasho. Naomba kuuliza hawa DRFA wana responsibility gani kubwa ya kuwafanya wapate mgao mkubwa hivi? Je TFF inavitendea haki vyama vya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza nasikitika kwa Team yetu pendwa ya Taifa Stars kukatishwa Rasmi Matumaini ya kwenda WORLD CUP mwaka 2014 na timu ya IVORY COAST. Ni hudhuni kweli. Katika kipindi hichi ambacho Watanzania...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Please find below the fixtures. All kick-off times are 3pm, unless stated. Please note these fixtures are subject to change. TIMU IPI ITAKUWA CHAMPION KATI YA Man U au Man City au Chelsea au...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hallow Viewers !! Watch live streaming online free just here & U on right place now just in this site.Welcome to join the sports Japan vs Italy live stream free watch online TV 2013.Watch live...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
the difference between the two teams was quick transitions.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukishakua karibu na uwanja huu hasa ukiwa ndani ya uwanja suala la network katika mitandao ya simu hua inakata kabisa. Kumpata mtu kwa simu aliyepo uwanjani huwa ni shida kubwa sana. Sasa sijui...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
click hapa:Premier League fixtures 2013-14 - ESPN FC
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mie sioni tofauti iliyopo kati Ya Ivory Coast kwa sasa na TZ, nyie mnaonaje wakuu hapo?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom