Niyonzima apata pigo

Niyonzima apata pigo

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Nyumba anayoishi kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima iliyopo Magomeni Makuti Dar imeteketea kwa moto leo hii.
Hasara bado kujulikana.
=
 
Pole yake au ndo kale ka mgomo baridi??
Cc to:twite
 
afu mtoto anaonekana ni wa Kambo, Niyo hajamzungumzia sana
 
nami naungana na wenzangu sasa kumpa pole aliyekua awe mchezaji wetu kwa msimu huu Mr Niyo
 
Pole sana fundi, japo upo Yanga, timu usiyostahili kucheza kwa kiwango chako, ufundi wako na aina aina ya mpira, ila nakupa pole kwa masaibu yaliyokupata, ni dunia tu

Hope msimu ujao utakuwa panapokustahili, sote tunapajua , karibu sana
 
Back
Top Bottom