Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Pamekuwa na IMANI kuwa kikosi cha soka cha Brasil kikiwa bora msimu wa fainali za kombe la dunia basi hakifiki nusu fainali kwa kutolewa. Kwa muonekano huu wa kutupa raha na burdani shabiki wake...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
"Wadau wengi wanataka Simba ibadilishe uamuzi wa kumtema Juma Kaseja kwa vile bado ana uwezo mkubwa na ndiyo maana ninahodha wa Taifa Stars." Dar es Salaam.Baadhi ya wadau wa soka, wamekosoa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mabondia hao ni Case Ramadhani Fills, Nathanael Elia Charles, Ally Rajabu Msengwa na Petro Charles Mtagwa. Wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, wote walikiri makosa ya kuingiza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF Mwenzenu nina safiri away of my home na soccer ni ugonjwa hebu naomba msaada ni link gani naweza ona live hizi game za confederation cup kwa stage hii ya robo fainal? nisingependa kukosa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mi nasema hivi Messi na Ronaldo si wanajishaua kuwa ni wafungaji wazuri??.... sasa Ramadhan hiyo hapo inakuja...ntawaona. Wafungaji wa ukweli ni akina Samir Nasri, Yaya Toure, Demba Cisse...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Miongoni mwa wachezaji ambao wameonekana kuwa tishio sana kikosini Simba pale Kinesi kwa sasa ni pamoja na; Sino Augustino kutoka Prison ya Mbeya, huyu ana wajihi kama wa Ngassa ilala yeye ana...
1 Reactions
76 Replies
9K Views
Wadau tangu wiki mbili zimepita nimeshuhudia vipaji vizuri sana kutoka kwa wanafunzi wa secondary zetu Tanzania, kiukweli kama vijana hawa wataendelezwa watafila mbali sana kimichezo. Binafsi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mbona mourinho yupo kimya sana kwenye usajili amemsajili Andre shchurrle tu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wameanza kwa kumsajili Higuan,na wanamtaka Rooney,ni swala la muda na kusubili league ianze.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Khadija Mngwai na Joan Lema SHAUKU ya mashabiki wa Yanga ya kumuona kiungo mshambuliaji Mrisho Ngassa akivaa tena uzi wa Jangwani huenda ikapotea baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu jamaa Madrid wamemuingiza mkenge? alikuwa na uhakika wa kazi Madrid akatagaza kuacha PSG sasa Madrid wanamchukua kocha wa Beyern naona najiuliza huyu mzee ndo atakuwa kaingizwa mjini?
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Ckutegemea saana kama Brazil wangeleta upnzan saana kwenye hii michuano..wamebadilika na wanajtahd kwa kwel ingwa bado kuna makosa madogo ya kurkebsha...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Kama huangalii confideration cup anza maramoja..mana utakua unakosa vitu vng..mambo aliyoyaonyesha huyu dogo ktk hiz mech 2..ame2dhihirishia kama anaenda barca kucheza mpira..
2 Reactions
14 Replies
2K Views
za leo wanajamii
0 Reactions
2 Replies
691 Views
2 Reactions
228 Replies
17K Views
Masikini Elia Nathnael winga wa kukimbiza wa Simba SC ya Dar msimu wa 1998 - 1999, 2000 akiwa na akina Machupa, Marehemu Machepe na wengineo .....ni miongoni mwa watanzania mabondia waliofungwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Imekua kama desturi makocha wa Ligi Kuu England kulalamikia ubovu wa Ratiba pindi Ligi hiyo inapokaribia ukingoni; Ukiangalia sasa tangu taarifa za kuanza kwa Ligi na ratiba kutoka ni zaidi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ARSENAL Ins: Outs: Craig Eastmond (Colchester, free), Jordan Wynter (Bristol City, free), Andrey Arshavin, Sebastien Squillaci, Denilson, Conor Henderson, Jernade Meade, Sanchez Watt...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Back
Top Bottom