Tanzania ni mahiri ktk mchezo gani duniani?

Tanzania ni mahiri ktk mchezo gani duniani?

TRIPLE H

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
651
Reaction score
351
Kila nikiiangalia tz kwa jicho la kisport naiona imejichokea.Wale wanaoonekana wako juu,kwa mizani ya kimataifa si lolote c chochote,choka mbaya.
Hivi uchovu huu ni wa asili au ndo kutopenda kujiumiza?
 
kumwagia watu tindikali na kung'oa watu meno bila ganzi.ipo mingi inayo fanana ni hii,wenzangu watajazia jedwali.🙂
 
K.I.T.A.N.D.A.N.I. Hapo utakuta dume lina majike 8. Nalo jike lina madume 12 mchezo huo kaburi tu ndio nongwa! KUDADADEKI
 
Tunarubunika kwa maneno ya wanasiasa kibwege kweli.
 
wadau tuzungumze kwa muktadha wa hoja husika.Topic inahoji TANZANIA NI MAHIRI KWA MCHEZO GANI DUNIANI?So kujb hrk hrk tunatoa badala ya kujumlisha!
 
Back
Top Bottom