Maoni.

Maoni.

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,450
Reaction score
17,934
Heshima mbele wadau, nilikuwa napendekeza kuwe na thread maalum zinazohusu ligi mbalimbali za ulaya na nyumbani pia. Wengi wa wadau hapa jukwaani wana vilabu wanavyovishabikia. Kuna Arsenal special thread, kuna Man united hatushikiki Liverpool, chelsea na Tottenham hot spurs. Hizi ni kwa England.
Kule spain kuna Real madrid na Barcelona. Kule Italy kuna Official AC milan, kuna Juventus sina uhakika kama kuna thread ya inter milan hapa jukwaani. Kule german Bayern Munich wana thread na wanazi wao wapo. Kwa hapa home simba, yanga na azam wana special thead. Pendekezo: Kuwe na
1.Serie A special thread.
2.La liga thread
3.EPL
4.Bundasliga official thread
5.Bongo soccer nk.
Hapa tutajadiliana kuhusu timu zote bila kujali wewe ni mpenzi wa timu gani.
Au nyie mnaonaje?
 
ndioooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom