Okwi Oloya ndani ya uzi mwekundu
utaipenda tu Simba
Simba watafute tu kocha kwani aliyepo ni kama msimamizi tu wa mazoezi. Timu haichezi kama iliyokuwa na mwalimu hata wakishinda utafurahia goli lakini hakuna move yoyote ya maana.
Kibadeni hafundishi Mpira,tatizo la makocha wetu hawajifunzi kujiendeleza
nimegundua pia majungu na chuki binafsi, leo nasikia eti Zahoro Pazi hachezi kwa sbb baba yake Iddi Pazi ana bifu na Julio, kadhalika Sino Augustino naye anawekwa benchi tu, simba haina mbavu ya kulia si kwa sbb wachezaji hawatoshi, nimeenda mazoezini na kushuhudia Haruna Shamte akikamua, MARA nasikia Humud naye ana bifu na Julio....kazi sana
Julio na kibadeni ni wazee wa 0713 ili upangwe so ukiwakatalia utakaa benchi milele one day nilikuwa na dokta mmoja yupo amana akawa ananieleza jinsi ambavyo king kiba huwa anenda kupigwa bomba kusafishwa